Njombe: Wananchi washauriwa kutumia baridi kama Utalii wa ndani

Mungu ibariki Njombe
 
Baada ya miezi tisa toka Sasa serikali iongeze wakunga mkoani Njombe
 
Hivi huu uoga utawaisha lini ninyi vijana wapumbavu(wapambanaji nyuma ya kibao vifungo)
Mtu umesema kaonekana kwa tv anaongea afu eti unamstahi!
 
Hakusema wameanzisha, amewashauri wananjombe waanzishe utalii wa baridi, ni vizuri uandike alichokisema na habari hii iko mtandaoni.
 
Hakusema wameanzisha, amewashauri wananjombe waanzishe utalii wa baridi, ni vizuri uandike alichokisema na habari hii iko mtandaoni.
Wananjombe waanzishaje wakati Nyahenge wanayo kila mwaka

Tamko la RC ni agizo bwashee!
 
kumekucha kumekucha royo tuah ya baridi ipo bongoland naona ndugu zangu wa daslamu wanaenda kwa kasi kujionea hiyo baridi inafananaje
 
Leo baridi imekuwa fursa wakati ulaya kila kona barafu?!

Au hao watalii watatokea jangwa la Sahara?

Ohoo..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…