Viongozi wa ccm kama machizi yan😀Wakazi wa mkoa wa Njombe wamesema hawajawahi kuishuhudia baridi kali kama hii ya mwaka huu
Wakazi wa mkoa huo wamepunguza muda wa kufanya kazi wakihofia kupatwa na Maradhi
Naye mkuu wa mkoa huo mh Kindamba amesema Baridi hiyo ni fursa kea mkoa huo kutangaza Utalii wa ndani na kuwaalika watu kufanya Utalii wa Baridi ili kuongeza mapato ya Serikali
Source ITV habari
[emoji38][emoji38][emoji38]Sijawahi kufika njombe ila Kuna kipindi nilienda arusha, sasa usiku ukafika nikalala palepale stendi maana mfuko ulikuwa umekaa kushoto.
Nilijifariji kwa kudhani hali ya hewa ni kama nitokapo.
Sikujua lolote.
Aise siku ile nilipigwa na baridi kidogo nife.
Ilibidi tu niwe mpole na niombe nguo ya kuvaa kwa juu maana kidogo nifie pale pale stendi.
Mbona wanalima kitambo, ila kwa kajembe ka mkono na ka trekta na wanavuna kwa mkono, hapa hakuna cha Siasa ni Kilimo.Waanze kulima ngano sasa..
Huo ndio ujinga wetu, tamko la RC ni agizo! Anakupa hela ya kuanzishia?Wananjombe waanzishaje wakati Nyahenge wanayo kila mwaka
Tamko la RC ni agizo bwashee!
Fedha ziko nyingi bwasheeHuo ndio ujinga wetu, tamko la RC ni agizo! Anakupa hela ya kuanzishia?