Asante sana Mungu akubariki na ubadirike vizuriAsante Sister nimekuelewa na nina aidi kubadilika
dah kila mzigo natupiwa mimiKuna siku ulivamia magroup ya WhatsApp ya Forex ukaleta usumbufu mkubwa kwa kupost maswala yasiyohusika kila mara na ukafika hatua kubadili icon na majina ya group kwa nia ya kuvuruga mijadala.
Acha huo utoto kama kweli wewe uliyefanya hivyo.