Njoo hapa unichane nambie ukweli nakosea wapi

Njoo hapa unichane nambie ukweli nakosea wapi

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Naomba utoe coment unieleze ukweli wote nakosea wapi na nijirekebishe wapi

Nichane mkuu

Nichane makavu live

Kama ni ushaur naomba unishaur mimi kama mdogo wako nina miaka 24 kama uko chin ya hapo nishaur kama una mshaur kaka yako

Nipe ushaur kuhusu post zangu na coment zangu nakosea wapi na nijirekebishe wapi

Nakua naona watu wakidis sana post zangu nahis kuna sehemu nakosea sasa bas naomba unieleze ukweli ni wapi nikoseapo

Karibu sana

Asante sana

LONDON BABY
 
Kuna siku ulivamia magroup ya WhatsApp ya Forex ukaleta usumbufu mkubwa kwa kupost maswala yasiyohusika kila mara na ukafika hatua kubadili icon na majina ya group kwa nia ya kuvuruga mijadala.

Acha huo utoto kama kweli wewe uliyefanya hivyo.
 
dah kila mzigo natupiwa mimi

Sijawah kufanya hivyo bro
 
Unatuma nyingi mno kwa siku bhana..! Alafu nyingi ni maloveee punguza andika ata za siasa kidogo..(kidding)..! Ila punguza threads in a day.
 
Back
Top Bottom