Njoo hapa unichane nambie ukweli nakosea wapi

Bora umesema kwakweli, yaani imekuwa too much. Ukiingia tu jf unakutana na thread zake rundo, kila tukio linamtokea yeye tu humu duniani chaah!!! Yaani mpaka anachosha.
Kwa sasa nimeacha kabisa shemu na nimebadilika kabisa
 
Bora umesema kwakweli, yaani imekuwa too much. Ukiingia tu jf unakutana na thread zake rundo, kila tukio linamtokea yeye tu humu duniani chaah!!! Yaani mpaka anachosha.
Vizuri ameshajua wapi anakosea ajirekebishe kwakweli
 
Hata hapa umekosea pia
 
unapenda kutufunga kamba kama vile watoto wadogo mara leo mkeo anakusumbua mara kesho unataka kuoa mara umepanda fisi mara bibi yako kafanya vile n.k ukipima story zako unaonekana hamna uhalisia
Kawaida tu mkuu mda mwingine tunachangamsha jukwaa tu
 
Acha kujiita 'baby boy' linatia shaka hilo jina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…