Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Kwani una Commission humu JF???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri ameshajua wapi anakosea ajirekebishe kwakweliBora umesema kwakweli, yaani imekuwa too much. Ukiingia tu jf unakutana na thread zake rundo, kila tukio linamtokea yeye tu humu duniani chaah!!! Yaani mpaka anachosha.
Hata hapa umekosea piaAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Naomba utoe coment unieleze ukweli wote nakosea wapi na nijirekebishe wapi
Nichane mkuu
Nichane makavu live
Kama ni ushaur naomba unishaur mimi kama mdogo wako nina miaka 24 kama uko chin ya hapo nishaur kama una mshaur kaka yako
Nipe ushaur kuhusu post zangu na coment zangu nakosea wapi na nijirekebishe wapi
Nakua naona watu wakidis sana post zangu nahis kuna sehemu nakosea sasa bas naomba unieleze ukweli ni wapi nikoseapo
Karibu sana
Asante sana
LONDON BABY
Kijana acha matusi pumbafu...Acha usenge be a man
unapenda kutufunga kamba kama vile watoto wadogo mara leo mkeo anakusumbua mara kesho unataka kuoa mara umepanda fisi mara bibi yako kafanya vile n.k ukipima story zako unaonekana hamna uhalisiaKwanini mkuu
Nataka nimloge Mshanajr na@MBITIYAZASawa sawa mkuu
Unataka kuwa mchawi mkuu au unataka tu madawa ili asiwe anakusumbua yeyote
Kawaida tu mkuu mda mwingine tunachangamsha jukwaa tuunapenda kutufunga kamba kama vile watoto wadogo mara leo mkeo anakusumbua mara kesho unataka kuoa mara umepanda fisi mara bibi yako kafanya vile n.k ukipima story zako unaonekana hamna uhalisia