Tunataka tu KURA IHESHIMIWE.Habari Wakuu.
Kwasasa kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu nani/namna/hali/uelekeo wa nchi yetu ya Tanzania.
Mimi Fact Only nauliza kwa uzuri kabisa ni nani Watanzania mnaamini/mnaona akipewa nchi hii anaweza kuiongoza vyema kumzidi Mh Rais Samia.
Sio kwa majaribio bali kuiongoza nchi hii kweli kweli kwenye uelekeo mzuri na mafanikio makubwa.
NI NANI? KWANINI YEYE? ANA QUALITY ZIPI?
Habari Wakuu.

Anazidiwa hata na machawa wake, vichaa kama Steve NyerereHabari Wakuu.
Kwasasa kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu nani/namna/hali/uelekeo wa nchi yetu ya Tanzania.
Mimi Fact Only nauliza kwa uzuri kabisa ni nani Watanzania mnaamini/mnaona akipewa nchi hii anaweza kuiongoza vyema kumzidi Mh Rais Samia.
Sio kwa majaribio bali kuiongoza nchi hii kweli kweli kwenye uelekeo mzuri na mafanikio makubwa.
NI NANI? KWANINI YEYE? ANA QUALITY ZIPI?
Ok good Mkuu tuone maoni ya raia wengine kuhusu 👇...Salum Mwalimu anamzidi Samia Suluhu.
..Salum anajiamini, ana uelewa mpana, na anaweza kujenga hoja, na kushawishi kuliko Samia Suluhu.
..Samia Suluhu bila mapesa,msaada wa watumishi wa serikali, na matumizi ya vyombo vya dola, ni mwanasiasa mwepesi kupita kiasi.
Kwenye nini na nini anamzidi Yani kwanini awe Bichwa komwe Mkuu ?Hata BICHWA KOMWE - anamzidi
KIchwa kisicho na akili.Habari Wakuu.
Kwasasa kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu nani/namna/hali/uelekeo wa nchi yetu ya Tanzania.
Mimi Fact Only nauliza kwa uzuri kabisa ni nani Watanzania mnaamini/mnaona akipewa nchi hii anaweza kuiongoza vyema kumzidi Mh Rais Samia.
Sio kwa majaribio bali kuiongoza nchi hii kweli kweli kwenye uelekeo mzuri na mafanikio makubwa.
NI NANI? KWANINI YEYE? ANA QUALITY ZIPI?
Mkuu kwanini 1....4 wana Quality zipi za kuongoza Nchi?Hata Babu Tale anamzidi Samia.
Lkn ili inchi itulie mapendekezo yangu ni :-
1. Tundu Antipas Mughwai Lisu.
2. Jaji Joseph Sinde Warioba.
3. Mohammed Dewji (MO).
4. Rose Ndauka (msanii wa Bongo Movie)