fact only JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 2,481 Reaction score 4,014 Aug 29, 2025 Thread starter #181 LIMBOMAMBOMA said: Ni lissu tu Click to expand... Kwanini Lissu Mkuu?
fact only JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 2,481 Reaction score 4,014 Aug 29, 2025 Thread starter #182 Ushimen said: Kama ni rais tayari yupo, watu waanze kujadili nafasi ya waziri mkuu itamdondokea nani..?? Click to expand... Hakika Mkuu PM mpaka sasa haieleweki nani ni nani.
Ushimen said: Kama ni rais tayari yupo, watu waanze kujadili nafasi ya waziri mkuu itamdondokea nani..?? Click to expand... Hakika Mkuu PM mpaka sasa haieleweki nani ni nani.
TUJITEGEMEE Platinum Member Joined Nov 6, 2010 Posts 27,646 Reaction score 28,747 Dec 2, 2025 #183 FaizaFoxy said: Kumzidi kwa lipi? Kama ni ukuu wa nchi ya Tanzania, hakuna anaemzidi. Click to expand... Ni kweli hakuna anayemzidi. Wa kwanza kupata kura nyingi, wa kwanza kuaminiwa na wakopeshaji wa Kimataifa imf na wb kukopeshwa hela nyingi zaidi ya wenzake kw muda mfupi, ongezea mengine!
FaizaFoxy said: Kumzidi kwa lipi? Kama ni ukuu wa nchi ya Tanzania, hakuna anaemzidi. Click to expand... Ni kweli hakuna anayemzidi. Wa kwanza kupata kura nyingi, wa kwanza kuaminiwa na wakopeshaji wa Kimataifa imf na wb kukopeshwa hela nyingi zaidi ya wenzake kw muda mfupi, ongezea mengine!