Njoo na hoja nani unaona anamzidi Rais Samia

CCM ni wezi wa kura asante sana comred Polepole tunakushukuru kutuambia namna ambayo hawa jamaa huiba kura.
 
Aise good Mkuu.
 
Ungekuwa umenielewa mkuu wala usingeuliza tena nani naona anafaa.

Ki msingi mfumo uliopo umedumaza watu wenye talanta za uongozi kuweza kuinuka na kuonekana na jamii.
Maoni yenu na kusema nani anafaa zaidi ya Mh Rais Samia ndiyo msingi wa huu uzi Mkuu.

Lakini sio mbaya umefafanua vizuri ingawa inaonekana bado haujaona nani anafaa zaidi ya Samia zaidi umeona udumavu wa mfumo wa kuonesha talanta za watu wengine kwenye jamii.
 
level ya Samia anazidiwa hata kijana mmoja wa CHASO. Nazungumzia uwezo wa kufikiri na kujeng hoja
 
Samia angekuwa na nusu ya huo uwezo unaosema anao angefuata utaratibu wa kuteuana ndani ya ccm!
Sawa Mkuu wewe binafsi nani unaona anafaa zaidi kuwa Rais wa JMT na Kwa nini yeye?
 
CCM ni wezi wa kura asante sana comred Polepole tunakushukuru kutuambia namna ambayo hawa jamaa huiba kura.
Sawa Mkuu wewe binafsi unaona nani anafaa zaidi kuwa Rais wa JMT na kwanini yeye?
 
Kwanini taratibu hazifuatwi kama mnajiamini na hiyo mtu wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…