Njoo na Id yenye miaka 6+na likes sio chini ya 50k

Njoo na Id yenye miaka 6+na likes sio chini ya 50k

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Kwanini kina dada mnawaamini hawa watu hivi...sisi tuliojiunga mwaka jana mwaka juzi tukija mnatuona kama wazinguaji.

Hamjui hata hawa wakongwe wapo hivi. kukuchezea ni tabia ya mtu tu haina uhusiano na ukongwr au idadi ya likes.

Japo nikiri kweli member wapya huwa tuna mwaga pumba na comments za ajabu humu. Tunaongoza. Nimefikiria niende kwenye ule uzi wa likes kisha nirudi.

Mjaribu kutufikiria nasi...jaribuni kutusikiliza hadi mwisho sio haujaongea tu unapigwa cha mbavu.
 
Mzee baba hapa nipo kujiburudisha tu. Nikichoka kupiga mzigo naingia JF kujamiana (socialize). Hapa nilipo ni mpweke JF ndio eneo pekee nakutana na wadau. Sijawahi mtokea mtu chamber mzee.
Kuna kile kipindi unajamiana na wa kike hadi unadhani huyu hanipigi cha mbavu ukiingia yanakuwa mengine Mzee baba....
 
Kuna kile kipindi unajamiana na wa kike hadi unadhani huyu hanipigi cha mbavu ukiingia yanakuwa mengine Mzee baba....
Mzee baba unaweza jipa makonfidence mia kuwa huyu haruki. Ukimuingia salaleeee. Kidume unarudi mdogo kama piriton. Sema kwa kuwa ni pm inabaki siri yenu.
 
Mzee baba unaweza jipa makonfidence mia kuwa huyu haruki. Ukimuingia salaleeee. Kidume unarudi mdogo kama piriton. Sema kwa kuwa ni pm inabaki siri yenu.
Ila bado aibu haziishi... kuna vya mbavu vingine vinauma hatari.
 
Back
Top Bottom