Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Kwanini kina dada mnawaamini hawa watu hivi...sisi tuliojiunga mwaka jana mwaka juzi tukija mnatuona kama wazinguaji.
Hamjui hata hawa wakongwe wapo hivi. kukuchezea ni tabia ya mtu tu haina uhusiano na ukongwr au idadi ya likes.
Japo nikiri kweli member wapya huwa tuna mwaga pumba na comments za ajabu humu. Tunaongoza. Nimefikiria niende kwenye ule uzi wa likes kisha nirudi.
Mjaribu kutufikiria nasi...jaribuni kutusikiliza hadi mwisho sio haujaongea tu unapigwa cha mbavu.