Njoo na Id yenye miaka 6+na likes sio chini ya 50k

Njoo na Id yenye miaka 6+na likes sio chini ya 50k

Ngoja niwaambie vijana!!.....

Maua ya kondeni yanapendeza kwa asili yake na sio kumfurahisha mtu....ila Mtu kwa kufurahishwa nayo huyachuma na kuyapeleka nyumbani......

Kuwa vile ulivyo na watu wanaojua au kuona umuhimu wako watakuja karibu yako!!!!.....

Usibadili kariba yako kwa utashi wa mtu bali kariba yako ndio iwavutie watu!!!...

Word is enough for the wise!!!
 
Kuna ka ukweli hapa.
Unakuta mtu wa zamani ameshaharibu anafungua mpya kuendelea kuharibu.
kama utakuja na ya zamani kidogo kuna uwezekano wakutojielezea sana maana muhusika atakuwa ameshapitia posts zako pamoja na comments na kueleewa huyu mutu yukoje
Duuh 2011 post tatu.

naomba id yako mkuu kama unayo nyingine kama hii...huitumii kabisa
 
Ngoja niwaambie vijana!!.....

Maua ya kondeni yanapendeza kwa asili yake na sio kumfurahisha mtu....ila Mtu kwa kufurahishwa nayo huyachuma na kuyapeleka nyumbani......

Kuwa vile ulivyo na watu wanaojua au kuona umuhimu wako watakuja karibu yako!!!!.....

Usibadili kariba yako kwa utashi wa mtu bali kariba yako ndio iwavutie watu!!!...

Word is enough for the wise!!!
Mkuu haya maneno mazito saana kama mwenyekiti naomba utumie lugha rahisi nasi tuyaelewe.
 
Duuh...kwa hiyo mwanamke ambaye ana comments 7000 na kajiunga january 2017 humtaki?

kimagesabu inamaana kwa siku anacomment comments

70000 ÷ 600= kwa siku 111

kwa saa anacomment 5.... inamaana anatumia nusu saa kwa siku kujishughulisha.

hapo haujamtolea muda wa kulala.
Yes,
Huyo ni mzigo,
Bora hata hizo comments ziwe za maana,
Utakuta ni za ngono tu.

Kuna vitu vingi unaweza kutumia kutafsiri maisha ya mtu humu bila hata kumuona.
 
Back
Top Bottom