Njoo na Id yenye miaka 6+na likes sio chini ya 50k

Njoo na Id yenye miaka 6+na likes sio chini ya 50k

hakuna mahali nitakapoona ujumbe wako nikaacha kusoma na kila ninaposoma jumbe zako lazima nijifunze kitu

i appriciate bro, faza, babu, anko, pal
huyu ni babu yake na baba yake Asprin sasa imagine asprin ni babu huyu babu yake na baba mtu atakuaje.
 
Likes zinaendana na replies.

Mimi nikiona dem humu ana replies nyingi kulinganisha na muda aliojiunga JF namuona ni jobless.

Huyo atakua mzigo (liability) hivyo nitashindwa kuunga juhudi za JPM kuleta maendeleo.

Otherwise, JF iwe ndio chanzo chake cha mapato au anakula pension yake baada ya kustaafu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Matokeo muda mwingine hayatabiriki
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] bora mimi mwanamme Mpole kabisa huwaga sisogei kabisa getini
Mzee unaogopa vitasa vya mbavu. Kuna vidume vinakazaga ile ile yaani hadi apewe biology
 
Back
Top Bottom