Njoo na Id yenye miaka 6+na likes sio chini ya 50k

Njoo na Id yenye miaka 6+na likes sio chini ya 50k

hahaha ndo maana ana busara sana
Yeah... ila pia huenda haya maandishi tu.

sijasema hana lakini ila nasema huenda haya maandishi ila naamini anazo.
 
Ngoja niwaambie vijana!!.....

Maua ya kondeni yanapendeza kwa asili yake na sio kumfurahisha mtu....ila Mtu kwa kufurahishwa nayo huyachuma na kuyapeleka nyumbani......

Kuwa vile ulivyo na watu wanaojua au kuona umuhimu wako watakuja karibu yako!!!!.....

Usibadili kariba yako kwa utashi wa mtu bali kariba yako ndio iwavutie watu!!!...


Word is enough for the wise!!!
Tumekusikia
 
Back
Top Bottom