Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni moja ya kigezo cha kutafuna biology za JF tafuta mzee babaIla staki yako mkuu usije ukanipa siitaki.
[emoji23][emoji23][emoji23] Id ina week tuFikiria iliyokiwa miji imekuwa nini kama vijiji vilivyokuwa vijiji vimkuwa miji.
utakuwa mkongwe.
Bro hujawahi kula biology ya JF?Hivi humu JF mnatingozana na kulana kweli pamoja na ID fake hizi?
Sio kila biashara inafanyika kwa jinsia.
I guess yupo ila sijamsoma kitamboCherie kaenda wapi au kabadili Id?
Never...humu naona robots tu siamini kwenye hizi fake IDsBro hujawahi kula biology ya JF?
Kumbe?wapi pm?... nitakutafuta..uwe mwanaume lkn
TumekusikiaNgoja niwaambie vijana!!.....
Maua ya kondeni yanapendeza kwa asili yake na sio kumfurahisha mtu....ila Mtu kwa kufurahishwa nayo huyachuma na kuyapeleka nyumbani......
Kuwa vile ulivyo na watu wanaojua au kuona umuhimu wako watakuja karibu yako!!!!.....
Usibadili kariba yako kwa utashi wa mtu bali kariba yako ndio iwavutie watu!!!...
Word is enough for the wise!!!
HahahaAtaharibu uzi huyu usimwite.
Aisee kweli kuna mashujaa humuNdiyo mkuu.... Na tumwagana pia...
Nahisi inakuwa hivi lakini.