Naona mzee umekula masharti kama upo kwa sangoma kumbe mdau unahitaji kutafuna biology tu kiroho safi.Usiishie kuwa wa kwanza tu mkuu. Tupeane uzoefu kama nawe mkongwe
Mzee baba hapa nipo kujiburudisha tu. Nikichoka kupiga mzigo naingia JF kujamiana (socialize). Hapa nilipo ni mpweke JF ndio eneo pekee nakutana na wadau. Sijawahi mtokea mtu chamber mzee.Hukutani na hii kadhia wewe kiongozi?
Kuna kile kipindi unajamiana na wa kike hadi unadhani huyu hanipigi cha mbavu ukiingia yanakuwa mengine Mzee baba....Mzee baba hapa nipo kujiburudisha tu. Nikichoka kupiga mzigo naingia JF kujamiana (socialize). Hapa nilipo ni mpweke JF ndio eneo pekee nakutana na wadau. Sijawahi mtokea mtu chamber mzee.
Mzee baba unaweza jipa makonfidence mia kuwa huyu haruki. Ukimuingia salaleeee. Kidume unarudi mdogo kama piriton. Sema kwa kuwa ni pm inabaki siri yenu.Kuna kile kipindi unajamiana na wa kike hadi unadhani huyu hanipigi cha mbavu ukiingia yanakuwa mengine Mzee baba....
Nakumbuka walivyoziondoa nililia sana.haha account age na likes ndo social currency ya humu... Zamani hadi rep power ilikuwa inahusika.
Nawapenda mno.Nawe hutupendi tuliojiunga juzi?
Likes nazo je?