Njoo na Id yenye miaka 6+na likes sio chini ya 50k

Njoo na Id yenye miaka 6+na likes sio chini ya 50k

Cha ajabu hili halipo kwa Id za jinsia zote mkuu...

wa kike wakizeeka kwa id zao kongwe wanafungua mpya mpya.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mbaba anaeweza kuwa zuzu hivyo ni hasara kwa ukoo wake na jamii yake

Kujua huyu ni mtoto ni aina ya mwandiko tu

Wewe utakuwa ni upo katikati sio mtu mzima wala ubalehe .......kama 34 na kupanda
Teh... haya...jioni njema.
 
Mbaba anaeweza kuwa zuzu hivyo ni hasara kwa ukoo wake na jamii yake

Kujua huyu ni mtoto ni aina ya mwandiko tu

Wewe utakuwa ni upo katikati sio mtu mzima wala ubalehe .......kama 34 na kupanda
Mimi binafsi nimekubali kutofautiana na wewe huwezi fahamu umri wa mtu kupitia maandishi yake
 
Back
Top Bottom