Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Aiseee. Nimejiunga JF wakati nina miaka 17. Guess nna umri gani mwaka huu. Maana toka nipo sijui form 4 ndo nilijiunga mwaka 2011 mpaka sasa npo in service.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijasema naweza kufahamu umri wa mtu bali kukadiria yupo katika rika ganiMimi binafsi nimekubali kutofautiana na wewe huwezi fahamu umri wa mtu kupitia maandishi yake
sikwepi najitahidi kujibu kadri ya uwezo wangu
Piah ni ngumu kapeace trust meSijasema naweza kufahamu umri wa mtu bali kukadiria yupo katika rika gani
Kwa waangalizi wa ID kongwe unawakomesha kweli kama ni kweli una 24 na una miaka takribani 7 humuAiseee. Nimejiunga JF wakati nina miaka 17. Guess nna umri gani mwaka huu. Maana toka nipo sijui form 4 ndo nilijiunga mwaka 2011 mpaka sasa npo in service.
Sawa .ila nmepta scholar naanza grade 8 texas ..Ukiwa na toto kama hili bora ulibadilishe kwa bundle.
Kweli ni ngumu lakini mtu kuchat nae sms 10 unakuwa ushajua yuko rika ganiPiah ni ngumu kapeace trust me
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee una mashairi sanaKwa waangalizi wa ID kongwe unawakomesha kweli kama ni kweli una 24 na una miaka takribani 7 humu
Hili ni chaka lenye giza unaempapasa humjui kama roho yako itasuuzika nae
Wengi wamekimbiana humu
Mi mmaza wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee una mashairi sana
Kumbe bi dada. Vizuri sana. Vipi na ww huwa unaangalia ID kongwe??Mi mmaza wewe
Nimekua lakini sijajua bado. Sema guts zangu zinaniambia nimekuja to the right teacher...Ukikua utaijua tu automatically
Yeah nilitaka nikutolee mfano wa huyo mkuu hapo juu since 2011 kabla hajatoa maelezo yake,Kweli ni ngumu lakini mtu kuchat nae sms 10 unakuwa ushajua yuko rika gani
Kuna huyo jamaa hapo kasema kajiunga humu 2011 akiwa 17 ugumu upo haswaa sikubishii
Kaka vumilia tu,one day yes...!Kwanini kina dada mnawaamini hawa watu hivi...sisi tuliojiunga mwaka jana mwaka juzi tukija mnatuona kama wazinguaji.
Hamjui hata hawa wakongwe wapo hivi. kukuchezea ni tabia ya mtu tu haina uhusiano na ukongwr au idadi ya likes.
Japo nikiri kweli member wapya huwa tuna mwaga pumba na comments za ajabu humu. Tunaongoza. Nimefikiria niende kwenye ule uzi wa likes kisha nirudi.
Mjaribu kutufikiria nasi...jaribuni kutusikiliza hadi mwisho sio haujaongea tu unapigwa cha mbavu.
Don't worry brother. Sharing is caringUtanitumia pm nkuu hizo sauti.
Bro unajua dawa ya haya madhila ?Mzee baba unaweza jipa makonfidence mia kuwa huyu haruki. Ukimuingia salaleeee. Kidume unarudi mdogo kama piriton. Sema kwa kuwa ni pm inabaki siri yenu.
Unatamani mpaka uage jf,yaani ujitoe mazima.Ila bado aibu haziishi... kuna vya mbavu vingine vinauma hatari.
Kumbe likes nazo kigezo ? Tuonyeshane machimbo hayo.ngoja nirudi zangu kapuku nikaongeze likes