Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Ahaahhahaha. Nakua Faza. Nikija nakuja ki utu uzima. Mambo ya ujanja ujnja pembeni. Sema JF mabinti sio wengi. Mtu mmoja anatongizwa na watu 50 sasa kwanini asiwe kiburiUkiruka ruka kama ndama utakula vya mbavu
Wakongwe ni wastahimilivu hawana pupa kama nyie watoto full makelele
Oyaaa wewe vipi mbona kimya
Hizo oya oya zenu sizipendi kama nini