Njoo na Id yenye miaka 6+na likes sio chini ya 50k

Njoo na Id yenye miaka 6+na likes sio chini ya 50k

Ukiruka ruka kama ndama utakula vya mbavu

Wakongwe ni wastahimilivu hawana pupa kama nyie watoto full makelele

Oyaaa wewe vipi mbona kimya

Hizo oya oya zenu sizipendi kama nini
Ahaahhahaha. Nakua Faza. Nikija nakuja ki utu uzima. Mambo ya ujanja ujnja pembeni. Sema JF mabinti sio wengi. Mtu mmoja anatongizwa na watu 50 sasa kwanini asiwe kiburi
 
Tubadilishane Id Name Halafu Nione Kama Nitakula Ivyo Vya Mbavu
 
Kale ka utaratibu wa kuintavyuu members maarufu humu uliishia wapi?
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] bora mimi mwanamme Mpole kabisa huwaga sisogei kabisa getini
[emoji23][emoji23][emoji23]kama kweli vile
Numbisa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Cole bana,nikikumbuka maswali yake tata hana hata asilimia moja ya upole

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama lile la uzi wa make up,halafu anasema yeye mpole
 
Back
Top Bottom