Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Hafu baba huwaga ... Anasemaga sana kuhusu nyie ... Et nyie wakorof sana ... Kuna siku alikua analia . Ni YULE GENTAYAISINI SIJUI ALIMTUKANAKakojoe basi kuna jambo tunataka kusema wakubwa... sawa!
Ukikua utaijua tu automaticallyLugha laini ndo zikoje, tufundishane jamani. wengine tulisoma sayansi kuremba mwandiko hatuwezi
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Cha ajabu hili halipo kwa Id za jinsia zote mkuu...
wa kike wakizeeka kwa id zao kongwe wanafungua mpya mpya.
Mi sio mjinga ... Anachapa huyu babukojolea hiyo simu ya baba.
[emoji106]Teh... haya...jioni njema.
Mama alitukimbia ... Ila mama ndo alkua muhun baba mpole sanaBaba yako muhuni mwambie mama anatongoza hovyo hovyo.
Mimi binafsi nimekubali kutofautiana na wewe huwezi fahamu umri wa mtu kupitia maandishi yakeMbaba anaeweza kuwa zuzu hivyo ni hasara kwa ukoo wake na jamii yake
Kujua huyu ni mtoto ni aina ya mwandiko tu
Wewe utakuwa ni upo katikati sio mtu mzima wala ubalehe .......kama 34 na kupanda