carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Mfyuuuu,haya irudishe basiSijasema sitaki kujibu kuiona sitaki bora Nivea miwani ya mbao
Imekuwaje tena chiefKwanini kina dada mnawaamini hawa watu hivi...sisi tuliojiunga mwaka jana mwaka juzi tukija mnatuona kama wazinguaji.
Hamjui hata hawa wakongwe wapo hivi. kukuchezea ni tabia ya mtu tu haina uhusiano na ukongwr au idadi ya likes.
Japo nikiri kweli member wapya huwa tuna mwaga pumba na comments za ajabu humu. Tunaongoza. Nimefikiria niende kwenye ule uzi wa likes kisha nirudi.
Mjaribu kutufikiria nasi...jaribuni kutusikiliza hadi mwisho sio haujaongea tu unapigwa cha mbavu.
ukiwa busy na maisha huwezi kuwa na posts nyingi humu.Bahati Mbaya Ambao tuna ID Zenye Miaka hata 10 hatuna Hata Post 2000
hahahahhahaha mimi??? SjaolewaNitakuambia nini sasa na ulishaniambia umeolewa.
😱Ongezea na wale wenye miaka mingi Jf ila kwa wall yao....likes, Points na message ni za kuhesabu.
Huwa najiuliza na kujijibu mwenyewe
Wisdom comes with age and experience 🙂.Wakongwe ni wastahimilivu hawana pupa kama nyie watoto full makelele
Oyaaa wewe vipi mbona kimya
Hizo oya oya zenu sizipendi kama nini
Naona unaleta ufukunyuku
Kama wewe ni mzee shikamoooSawasawa
Mkuu tuwe serious kidogo hapa kwamba hadi wewe haujala makinikia yoyote humu ndani .?Hivi humu JF mnatingozana na kulana kweli pamoja na ID fake hizi?
Marahaba😂Kama wewe ni mzee shikamooo
Kaa muda mrefu bila kucoment wala kupost chochote uone, mi kupitisha miezi sita ni kawaida tu, maana siku hizi ndo nimerudia tabia hii, maana nikiingia huku napita kimya kimyaHivi huwa wanafanya hivyo? sikujua
Usicheke ujue unafaa kwa matumizMarahaba[emoji23]
Ujira siku huwa ni pesa. Usikatae pesa bibie. Chukua mpunga huo.No thank you
Hivi ukiwa na likes ngapi unapata hiyo kitu ?Wakuu, tumpe mleta mada likes ili apate papuchi
Ngoja niwaambie vijana!!.....
Maua ya kondeni yanapendeza kwa asili yake na sio kumfurahisha mtu....ila Mtu kwa kufurahishwa nayo huyachuma na kuyapeleka nyumbani......
Kuwa vile ulivyo na watu wanaojua au kuona umuhimu wako watakuja karibu yako!!!!.....
Usibadili kariba yako kwa utashi wa mtu bali kariba yako ndio iwavutie watu!!!...
Word is enough for the wise!!!