Njoo na Id yenye miaka 6+na likes sio chini ya 50k

Njoo na Id yenye miaka 6+na likes sio chini ya 50k

Kwanini kina dada mnawaamini hawa watu hivi...sisi tuliojiunga mwaka jana mwaka juzi tukija mnatuona kama wazinguaji.

Hamjui hata hawa wakongwe wapo hivi. kukuchezea ni tabia ya mtu tu haina uhusiano na ukongwr au idadi ya likes.

Japo nikiri kweli member wapya huwa tuna mwaga pumba na comments za ajabu humu. Tunaongoza. Nimefikiria niende kwenye ule uzi wa likes kisha nirudi.

Mjaribu kutufikiria nasi...jaribuni kutusikiliza hadi mwisho sio haujaongea tu unapigwa cha mbavu.
Imekuwaje tena chief
 
Nimelewa pombe jaman loooh savvana hizi loooo
 
Bahati Mbaya Ambao tuna ID Zenye Miaka hata 10 hatuna Hata Post 2000
ukiwa busy na maisha huwezi kuwa na posts nyingi humu.
Wapo ambao kutwa nzima ni Jf na ikipita siku hawaja'login wanaumwa, hao hauwezi kushindana nao, wengi hawana cha kuwa'keep busy hata hela ya bundle tu hawatafuti wao.
 
Hivi humu JF mnatingozana na kulana kweli pamoja na ID fake hizi?
Mkuu tuwe serious kidogo hapa kwamba hadi wewe haujala makinikia yoyote humu ndani .?
Mbona wewe ni miongoni mwa watu wazito humu ndani .
 
Hivi huwa wanafanya hivyo? sikujua
Kaa muda mrefu bila kucoment wala kupost chochote uone, mi kupitisha miezi sita ni kawaida tu, maana siku hizi ndo nimerudia tabia hii, maana nikiingia huku napita kimya kimya
 
Ngoja niwaambie vijana!!.....

Maua ya kondeni yanapendeza kwa asili yake na sio kumfurahisha mtu....ila Mtu kwa kufurahishwa nayo huyachuma na kuyapeleka nyumbani......

Kuwa vile ulivyo na watu wanaojua au kuona umuhimu wako watakuja karibu yako!!!!.....

Usibadili kariba yako kwa utashi wa mtu bali kariba yako ndio iwavutie watu!!!...


Word is enough for the wise!!!


ahsanteee... maneno ya busara kutoka kwa mtu makini

hata ivyo napendaga avatar yako mkuu
 
Suala hapo sio kuchezewa bali ni umri.
 
Back
Top Bottom