Njoo na Id yenye miaka 6+na likes sio chini ya 50k

Naona u mkongwe ila hauna likes zaidi ya elfu 60
Likes zinaendana na replies.

Mimi nikiona dem humu ana replies nyingi kulinganisha na muda aliojiunga JF namuona ni jobless.

Huyo atakua mzigo (liability) hivyo nitashindwa kuunga juhudi za JPM kuleta maendeleo.

Otherwise, JF iwe ndio chanzo chake cha mapato au anakula pension yake baada ya kustaafu.
 
Duuh...kwa hiyo mwanamke ambaye ana comments 7000 na kajiunga january 2017 humtaki?

kimagesabu inamaana kwa siku anacomment comments

70000 ÷ 600= kwa siku 111

kwa saa anacomment 5.... inamaana anatumia nusu saa kwa siku kujishughulisha.

hapo haujamtolea muda wa kulala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…