General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Likes zinaendana na replies.Naona u mkongwe ila hauna likes zaidi ya elfu 60
Mimi nikiona dem humu ana replies nyingi kulinganisha na muda aliojiunga JF namuona ni jobless.
Huyo atakua mzigo (liability) hivyo nitashindwa kuunga juhudi za JPM kuleta maendeleo.
Otherwise, JF iwe ndio chanzo chake cha mapato au anakula pension yake baada ya kustaafu.