Ongezea na wale wenye miaka mingi Jf ila kwa wall yao....likes, Points na message ni za kuhesabu.Halafu toka JF irudi baada ya kufungwa nikiji-search sijipati sijui hili tatizo nalipata mimi tu?
Polenimejaribu hata kwa web sijipati pia.
Duuh 2011 post tatu.Kuna ka ukweli hapa.
Unakuta mtu wa zamani ameshaharibu anafungua mpya kuendelea kuharibu.
kama utakuja na ya zamani kidogo kuna uwezekano wakutojielezea sana maana muhusika atakuwa ameshapitia posts zako pamoja na comments na kueleewa huyu mutu yukoje
Kama ni hivyo biology za JF tutasikia tu story kwa wakongweItakuwa inahusika mkuu.
Aiseee...!Naona u mkongwe ila hauna likes zaidi ya elfu 60
Mkuu haya maneno mazito saana kama mwenyekiti naomba utumie lugha rahisi nasi tuyaelewe.Ngoja niwaambie vijana!!.....
Maua ya kondeni yanapendeza kwa asili yake na sio kumfurahisha mtu....ila Mtu kwa kufurahishwa nayo huyachuma na kuyapeleka nyumbani......
Kuwa vile ulivyo na watu wanaojua au kuona umuhimu wako watakuja karibu yako!!!!.....
Usibadili kariba yako kwa utashi wa mtu bali kariba yako ndio iwavutie watu!!!...
Word is enough for the wise!!!
Yes,Duuh...kwa hiyo mwanamke ambaye ana comments 7000 na kajiunga january 2017 humtaki?
kimagesabu inamaana kwa siku anacomment comments
70000 Γ· 600= kwa siku 111
kwa saa anacomment 5.... inamaana anatumia nusu saa kwa siku kujishughulisha.
hapo haujamtolea muda wa kulala.
Hamna namna inabidi tu nivute subra mpaka mwaka 2020 ndo ntakuwa nmefikisha miaka sita,ndio ntaanza kuingiakwenye mtanangeAsante mkuu...unazikabili vipi wewe?
Kabisaa unajua wazeee wakongwe wana sabuni ya rohoSijawahi ingia chamber kwa ajili ya kuomba biology. Afadhali nimejua sasa ntakuwa makini zaidi na hizi requirements
Najifunza Mzee baba...Yes,
Huyo ni mzigo,
Bora hata hizo comments ziwe za maana,
Utakuta ni za ngono tu.
Kuna vitu vingi unaweza kutumia kutafsiri maisha ya mtu humu bila hata kumuona.