Njoo nikufundishe kupika mchemsho wa samaki na ndizi

Njoo nikufundishe kupika mchemsho wa samaki na ndizi

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,977
Reaction score
67,600
Mahitaji
1. Samaki
2. Ndizi
3.mchicha
4. Karoti
5.limao
6. Chumvi

Mpalue samaki wako magamba vzr kisha muoshe vizuri baada ya hapo muweke kwenye sufuria weka maji kidogo sana na chumvi kidgo kisha ukamulie ndimu
Washa jiko weka moto mdogo sana samaki asije vurugika

Baada ya hapo weka ndizi zako pamoja na karoti weka maji kidogo tu kisha funika na uwashe moto wako baada ya mda ndizi zikiwa zina karibia kuiva weka mchicha wako ni kaisi tu kisha acha kama dakika 4 kisha ipua mlo teyari

1777482142290.jpeg
 
Back
Top Bottom