Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Seems delicious!
Seems delicious!
Bila ugali wa dona mkubwa hapo mimi sishibiMahitaji
1. Samaki
2. Ndizi
3.mchicha
4. Karoti
5.limao
6. Chumvi
Mpalue samaki wako magamba vzr kisha muoshe vizuri baada ya hapo muweke kwenye sufuria weka maji kidogo sana na chumvi kidgo kisha ukamulie ndimu
Washa jiko weka moto mdogo sana samaki asije vurugika
Baada ya hapo weka ndizi zako pamoja na karoti weka maji kidogo tu kisha funika na uwashe moto wako baada ya mda ndizi zikiwa zina karibia kuiva weka mchicha wako ni kaisi tu kisha acha kama dakika 4 kisha ipua mlo teyari
View attachment 3581509
Unapenda samaki...Seems delicious!
Mnoooo loveUnapenda samaki...
Haha, umenichekesha! Binadamu mtata sanaimagine kama kuna wanyama wangekua wanafundishana jinsi ya kupika binadamu karot
Ni adjee mahondawMnoooo love
Shikamoo mbamiiimwachiluwi again
Thank youSio kweli bwana.
Sina matusi kihivyo uwe na amani.
Nawasaimia tu 😁mwachiluwi again
Duh kushiba ni kuridhikaBila ugali wa dona mkubwa hapo mimi sishibi
Tushibe kwanza tupate fact za siasa au una semajeTaratibu Mkuu
Na Hayo Masotojo
Ahahha kabisa mm mzee wa mtindi tubaada ya msos si lazima ushushie kinywaji mzee huo lager hizo 😆
Sawa sawaNasubiri muda wa kuangalia witchcraft football alafu baadae namalizia na haram football 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Then nakujaa
Duh kweli mm nalal na naamka nipo goodNdizi na Viazi nikila saa 3 usiku, sitoboi saa 6 njaa imeanza.
Ahahah lkn ndio una kukataaHaswaa!!! Napenda ubonge toka moyoni.
Utake nini mtoto wa mwenye nyumba 😁Ndizi bila mchuzi naona hainogi hapo nakamulia limao zima na pilipili.
Utamu mpaka kwenye kichogo!
😁😁 una waza mbali sanaimagine kama kuna wanyama wangekua wanafundishana jinsi ya kupika binadamu karot