shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,832
- 13,664
Huo mchemsho umejitosheleza,unatakiwa ule ukalale hakuna ugali hapo!Hii simple naweza hii. Huu mchemsho nakula na nn? Ugali au wali
Huo mchemsho umejitosheleza,unatakiwa ule ukalale hakuna ugali hapo!Hii simple naweza hii. Huu mchemsho nakula na nn? Ugali au wali
Au mchemsho wa binadamu na pilipili 😥imagine kama kuna wanyama wangekua wanafundishana jinsi ya kupika binadamu karot
Mama gwamak jitahid kitmbi kiishe aseHuo mchemsho umejitosheleza,unatakiwa ule ukalale hakuna ugali hapo!
Hapo ukiwa una wapika mchumzi tia limao nyingi af wakunie na tangawizi af wafunike waache kwa mda kma lisaa ndio uje uwaunge yaan tangawiz una ikamua yale maji yake ndio una ya mwagia juu ya samakiMwachiluwi ninasamaki wa kukaanga sato tukaweka kwenye friji sababu walikuwa wengi wasiharibike nifanyaje wawe na ladha nzuri maana naona ladha sio km ile ya mwanzo
Nina ugomvi wa kudumu na nyama nyama za mwili nikiona zinaninyelea tu,aisee hiyo nguvu nitakayotumia kuziondoa Hadi shetani anakaa pembeni🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mama gwamak jitahid kitmbi kiishe ase
naam, huku mpishi una imba kwa sauti mwananaNanjilinji hakuna samaki watamu wa mchemsho hii tuifanyie Mwanza🤗🤗🤗🤗
Sawa shukraniHapo ukiwa una wapika mchumzi tia limao nyingi af wakunie na tangawizi af wafunike waache kwa mda kma lisaa ndio uje uwaunge yaan tangawiz una ikamua yale maji yake ndio una ya mwagia juu ya samaki
Then ukiwa una unga ukiwa una kaanga vitunguu weka binzar nyembamba na nazi uweke nyanya ikiiva uwek pamoja na samaki tatokote na nazi mda mrefu kidg tui la kwanza ndio utie mwishoni samaki wako uta mpenda sana
Bora mniue tuHuo mchemsho umejitosheleza,unatakiwa ule ukalale hakuna ugali hapo!
Utashiba lakini au utaomba usongewe na kiugali laini🤓🤓🤓🤓naam, huku mpishi una imba kwa sauti mwanana
Ka ugali ka dona, miksa na muhogoUtashiba lakini au utaomba usongewe na kiugali laini🤓🤓🤓🤓
😂 Hahaha!!!;umejuaje???Ahahah lkn ndio una kukataa
Ugali sipendi wala sishibi, uji ulioganda.Samaki chakula changu pendwa,, toa ndizi weka ugali.
Pole, kila mtu anakula anachoona ni sahihi kwake.Ugali sipendi wala sishibi, uji ulioganda.
Upo sahihi, mazingira malezi yanatujengea mazoeaPole, kila mtu anakula anachoona ni sahihi kwake.
Mazingira na malezi hatukuwa tukipata fursa ya kuipata ugali.Upo sahihi, mazingira malezi yanatujengea mazoea
Pole miye sipendi aisee kwangu unaisha mapema tumboni.Mazingira na malezi hatukuwa tukipata fursa ya kuipata ugali.
Ugali mi kanifundisha mwanaume wangu na nikaupenda sana na ndio mlo wangu pendwa.
Mie vyakula kama viazi mviringo na ndizi hunishinda kabisa na vikipikwa sili. Nikila bahati mbaya viazi mviringo hata pilau au mchuzi wa hivyo vitu natokwa vipele na lazima nitapike.
Tueleze kisichoisha mapema tumboni ni Nini?Pole miye sipendi aisee kwangu unaisha mapema tumboni.
Ahahahaha aloooohShikamoo mbamiii