Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Imeisha iyo boss wanguNiongezee mchuzi
ugali unadumaza akiliπSamaki chakula changu pendwa,, toa ndizi weka ugali.
ongeza mchuzi na limao, kisha chapati za kusukuma kama 20 hiviHii simple naweza hii. Huu mchemsho nakula na nn? Ugali au wali?
Walev utawajua
Mm nimekula na ndizi ni wewe na mapenzi yakoHii simple naweza hii. Huu mchemsho nakula na nn? Ugali au wali?
Dada ndio maana una nenepaSamaki chakula changu pendwa,, toa ndizi weka ugali.
baada ya msos si lazima ushushie kinywaji mzee huo lager hizo πWalev utawajua
Ndizi na Viazi nikila saa 3 usiku, sitoboi saa 6 njaa imeanza.Mm nimekula na ndizi ni wewe na mapenzi yako
Sio kweli bwana.ugali unadumaza akiliπ
usinitukane lkn dada angu
Haswaa!!! Napenda ubonge toka moyoni.Dada ndio maana una nenepa
Ndizi bila mchuzi naona hainogi hapo nakamulia limao zima na pilipili.Imeisha iyo boss wangu