Njoo PM niku Assist

Hii ya watu kuzuka PM na kuomba kukopeshwa hela za ada... nimeshazizoea sana.

Uzuri PM za namna hiyo wala hata sihangaiki kuzijibu...

kwangu mimi ni bora mtu aombe msaada, naweza kumsaidia.... Lakini mkopo??? Nehi!!
 
Hahaha tatizo watu wakijua uko abrodi wanajua zimejaaa, hawaelewi kuwa majuu laifu liko juu sana

Hata kama ninazo, sikopeshi tu hela hivi hivi.

Kwa kawaida huwa natumia masharti ya kibenki kama mtu atanikopa hela.

Ni lazima mtu awe na kazi ya kueleweka, ni lazima nijue makazi yake, ni lazima tuandikishiane, ni lazima awepo shuhuda zaidi ya mmoja, na kadhalika.....
 
Naona mods wamefuta nyuzi zote zinazomtuhumu tapeli Raimundo,vizuri.

Sasa endapo uzi wowote wa kumsafisha huyo bwana ukianzishwa na kuachwa hewani JF wajiandae kujibu hoja nzito,na haitokuwa tena kuhusu Raimundo bali JF yenyewe.



Kabisa!! Naunga mkono hoja
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha mond kumbe assist ndo ilipoibukia lol!!
 
Yap ndio ilipoanzia,wewe hajakuomba Assist?




Gene naomba Assist ya buku kumi basi nitakupa Allah akijalia

-Mond-
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi mond nakupa unajua we wangu sema umenitupa cku hzi!!
 
Kweli Dinia pana MTU mmoja hawez jaa!!
Huyo jamaa anaitafuta Jehanam ya Lazma!!! Kwani Assist ni Lazima!!
Me Naweza mu assist MTU Likes Tu!!
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hakuna hatq mmoja alie ni assist
Au mods wamebana notificatio
Zang


Ukhuty embu karbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…