Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

Bariadi - Mnyantuzu orijino (Somanda hospitalini pale). Mitaa yote ya Sanungu, Sima, Kidinda, Mbiti, Majahida, Ibulyu, Ngulyati, Mahaha, Old Maswa, Ngashanda, Busheni, Matale, Ng'wamapalala, Bumela, Luguru ginnery, Ikungulyabashashi, Gamboshi...Love home...
Hahaha hiyo mitaa naipata sana...nishawahi ishi huko...Bila kusahau Biashara, Malambo, Mahaha,Salunda, Kidinda nk
 
kama na nawaona mlivyotoa macho wa Kitengo maalumu.

#Wa Gera mkowapi
 
nili pa mbeye pa MBALIZI KATA YA IWINDI kwa baba Admin swila.
 
Back
Top Bottom