Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Order ya kitu gani?Sasa mm nikipewa order unataka nionekanee nmeshindwaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Order ya kitu gani?Sasa mm nikipewa order unataka nionekanee nmeshindwaa
Usitumieee hilo nenoOrder ya kitu gani?
Kule kwetu kibosho mwanamke akimtawala mwanaume huwa tunasema "mwanamke amemkalia mwanaume" sijua hata haya maneno waliyatoa wapi!Usitumieee hilo neno
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anamkaliaa kwa juu au ..pananogaga hatar
Ushanifundishagaa haya ndefu unasoma mwanzo kati na mwisho[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu hii uwa wanaiwekaje ? This member limits who may view their full profile.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu kuanzia leo nikome kutumia neno pendwa la mfilisi wa government?Mkuu hii uwa wanaiwekaje ? This member limits who may view their full profile.
Ulipooo kunywaa fantaa pashenii ntalipaaaMkuu kuanzia leo nikome kutumia neno pendwa la mfilisi wa government?
kwa maswali gani..?Aliyeandika biblia aisee huyu pengine angenikimbia
Kibosho Umbwe au Kirima mkuu???...Kule kwetu kibosho mwanamke akimtawala mwanaume huwa tunasema "mwanamke amemkalia mwanaume" sijua hata haya maneno waliyatoa wapi!
Tatizo shetani ana kiburi hataki kumtii Mungu...Mungu na Shetani kwa nini wanajificha na hawamalizi tofauti zao tukaishi kwa amani?
Hayo ni maswali yake personal hayakuhusu wewe..!Mkuu waweza tushirikisha hayo maswal?
Habari yangu nzuri na ni tamu..😜mkuu habari yako.
Shkamoo.
🤣 nzuri huonekani sku hiziHabari yangu nzuri na ni tamu..😜
Sijui wewe uhali gani nyonga mkalia ini..?