Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena kameniroga hako kabinti..😂🤣🤣🤣weee🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️
Usituambie mkuu lliedie huyuhyu ninaemjua Mimi .
🤣🤣🤣ohoooTena kameniroga hako kabinti..😂
Imefika hatua maji naita mma..🤣
Historia inasema kwamba habari za dini tumeletewa na wakoloni ,kwa maswali gani..?
Ningependa kukutana na founder wa IPhone nimuulize kinagaubaga kwanini aliamua kung’ata lile apple nyuma ya iPhone?ndo hivyo tena haiwezekani [emoji3064]
Mtu aliyezaliwa na ukichaa na akafa akiwa kichaa huyo ametenda dhambi?Historia inasema kwamba habari za dini tumeletewa na wakoloni ,
Je wale waliokufa kabla ya kuzijua hizi dini zinazokemea uovu watahukumiwa au watasamehewa?
sawa mkuuNingependa Kukutana na Watu Masikini zaidi kuwauliza wao wanawaza nini ili kujikwamua? Ningefanya sampling kila kijiji ili utafiti huo usaidie kupunguza umasikini wao na kujenga Daraja kati yao na Matajiri.
ILI nao wajione sehemu ya Dunia hii.
ukikutana na namba moja muulizie kama kuna vichenji. .. utanistua mkuu kama vipoWakuu unajua kuna muda unasema ningekutana na mtu huyu basi ningependa kujua moja mbili tatu, basi hapa ni mahala pako pengine ukapata nafasi hiyo.
Mimi binafsi ningependa kukutana na wafuatao
1. John Pombe Magufuli (Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania)
[emoji117] Huyu swali langu kubwa ningependa kujua ni vipi aliweza kupambana na Corona au ni kitu gani aligundua kipo nyuma ya pazia maana haiwezekani mpaka leo bado jirani zetu wanapambana nayo.
2. Pastor David Mmbaga
[emoji117] Huyu ningemuuliza ameweza vipi kuwa na imani aliyonayo maana mimi bado naferi kila nikijaribu angalau kuifikia nusu ya iman yake, japo nina imani ipo siku nitaifikia.
Vipi wewe mdau ungependa kuonanna na nani na ni vitu vipi ungependa kufaham kutoka kwake?
sawa mkuu ntakusaidia kuuliza na hiloukikutana na namba moja muulizie kama kuna vichenji. .. utanistua mkuu kama vipo
Sasa mkurugenzi hapo una maana gani? Au hili ndilo jibu lakeMtu aliyezaliwa na ukichaa na akafa akiwa kichaa huyo ametenda dhambi?
Kichaa hakufundishwa neno la mungu hadi anakufa!Sasa mkurugenzi hapo una maana gani? Au hili ndilo jibu lake
Basi kumbe tutakuwa wengi hukoKichaa hakufundishwa neno la mungu hadi anakufa!
hata hao mababu hawakufundishwa neno la mungu hadi wanakufa.!
kabla ya musa baadhi ya waisrael waliabudu miungu ya misri.!
musa alipo waokoa.. walipo kua mlimani kuna kipindi waka abudu sanamu.. je mungu ali waua?
Jibu ni hapana alimtuma musa kuwafundisha sheria za mungu (Yehova)
Tutakua wengi wapi?Basi kumbe tutakuwa wengi huko
Bora una hiyo nafasi wenzako wameihama nchi kabisa hata nafasi ya kuongea hawakupewaWakuu unajua kuna muda unasema ningekutana na mtu huyu basi ningependa kujua moja mbili tatu, basi hapa ni mahala pako pengine ukapata nafasi hiyo.
Mimi binafsi ningependa kukutana na wafuatao
1. John Pombe Magufuli (Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania)
[emoji117] Huyu swali langu kubwa ningependa kujua ni vipi aliweza kupambana na Corona au ni kitu gani aligundua kipo nyuma ya pazia maana haiwezekani mpaka leo bado jirani zetu wanapambana nayo.
2. Pastor David Mmbaga
[emoji117] Huyu ningemuuliza ameweza vipi kuwa na imani aliyonayo maana mimi bado naferi kila nikijaribu angalau kuifikia nusu ya iman yake, japo nina imani ipo siku nitaifikia.
Vipi wewe mdau ungependa kuonanna na nani na ni vitu vipi ungependa kufaham kutoka kwake?
Huko waliko mitume na manabiiTutakua wengi wapi?