Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Ukifa hauendi popote.Huko waliko mitume na manabii
mwanzo 3;19
'Adamu alipo kufa alikoma kuwapo"
Kwani lengo la mungu kutumba duniani ni nini?
Kama adamu na hawa wasingekula tunda wangeishi milele duniani bila kifo!
Mungu aliumba viumbe watakao ishi duniani na kuna viumbe aliwaumba wataishi mbinguni! mfno. malaika.