Njoo tuambizane ni nani ungependa kukutana naye

Mungu na Shetani kwa nini wanajificha na hawamalizi tofauti zao tukaishi kwa amani?
 
Mimi ningetamani sana kukutana na pope Benedict 16.
Swali ambalo ningemuuliza Ni ukatoliki ndio imani pekee ilio sahihi mbele za Mungu kwa sababu watakatifu wote wanaotajikana Ni wakatoliki tuu.

Swali la pili kujiuzulu kwake kumemyondolea nafasi ya kua mtakakatifu?

La tatu Ninini haswa lililo baya aliloliona likamfanya aachie ngazi, mbona mpaka leo afya yake sio mbaya na akili yake Ni bora kuliko alieko Sasa?
 
Habari yangu nzuri na ni tamu..😜

Sijui wewe uhali gani nyonga mkalia ini..?
🀣 nzuri huonekani sku hizi
Huyo aliekuficha na kukalia maini yako msalmie mkuu
 
🀣 nzuri huonekani sku hizi
Huyo aliekuficha na kukalia maini yako msalmie mkuu
🀣🀣🀣 Anajijua si anaitwa lliedie !! Kakalia mpk seli zangu za damu nampenda mpk moyo unaunguruma jina lake..πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…