Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Ukifa hauendi popote.Huko waliko mitume na manabii
Sasa hii parapanda itakayolia Sikh ya mwisho kwa ajili ya ufufuo inazungumziwa biblia gani?Ukifa hauendi popote.
mwanzo 3;19
'Adamu alipo kufa alikoma kuwapo"
Kwani lengo la mungu kutumba duniani ni nini?
Kama adamu na hawa wasingekula tunda wangeishi milele duniani bila kifo!
Mungu aliumba viumbe watakao ishi duniani na kuna viumbe aliwaumba wataishi mbinguni! mfno. malaika.
Japo Sijaelewa swali lako..!Sasa hii parapanda itakayolia Sikh ya mwisho kwa ajili ya ufufuo inazungumziwa biblia gani?
Ulivyojibu ulikuwa sawa Mtumishi naomba tuishie hapaJapo Sijaelewa swali lako..!
Ukisoma vizuri hicho kifungu.. kinaongelea pia ujio wa yesu kuja kufufua watu duniani.. hiyo ina maanisha ukifa hauendi popote..
Nimekupa na kifungu hichi hapa mwanzo 3:19
'adam alipokufa alikoma kuwapo" (unaelewa maana ya kukoma kuwapo?)
Sasa jiulize mwenyewe! kama ukifa unaenda mbinguni au jehanam ni watu gani ambao yesu atawafufua duniani?
kwanini asiwachukue huko mbinguni au jehanam walikoenda?
Ndugu mtumishi wew utanivuruga kwa sababu upande wako unaamin huo mstari wa Adam kwamba mtu akifa haendi popote, lakiniJapo Sijaelewa swali lako..!
Ukisoma vizuri hicho kifungu.. kinaongelea pia ujio wa yesu kuja kufufua watu duniani.. hiyo ina maanisha ukifa hauendi popote..
Nimekupa na kifungu hichi hapa mwanzo 3:19
'adam alipokufa alikoma kuwapo" (unaelewa maana ya kukoma kuwapo?)
Sasa jiulize mwenyewe! kama ukifa unaenda mbinguni au jehanam ni watu gani ambao yesu atawafufua duniani?
kwanini asiwachukue huko mbinguni au jehanam walikoenda?
Mkuu naona hatukuelewana mwanzo.Ulivyojibu ulikuwa sawa Mtumishi naomba tuishie hapa
Ndugu mtumishi wew utanivuruga kwa sababu upande wako unaamin huo mstari wa Adam kwamba mtu akifa haendi popote, lakini
Ufunuo wa yohana 20:12 nikawaona wafu, wakubwa kwa wadogo, wamesimama mbele ya hicho kiti cha enzi na vitabu vikafunguliwa na kitabu kingine
Kikafunguliwa,
Kwa hiyo mistar wew unapata picha gani kwamba hakuna ufufuo kiongozi?
waumini wengi wanaamini ufufuo upo siku ya kuja kwamwana was Adam.
Hv yule mchumba ako mliachana?!Mleta mada ulifanikiwa...
hapana mkuuMleta mada ulifanikiwa...