Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Perché??hapa inabidi ncheke kwanza
Tupia na wewe hapo neno la Kiitaliano uzi usongeehapa inabidi ncheke kwanza
Mi najufunza, natafuta watu wanaojua ili tuwe tunaongeaTupia na wewe hapo neno la Kiitaliano uzi usongee
Anhaa basi wacha tujifunze woteMi najufunza, natafuta watu wanaojua ili tuwe tunaongea
Anke io para ItalianoCiao! Sempre sai l'italiano bene! Giusto! Dove imparato questa lingua mia amico??
Oooh bene! Secondo me imparlo per conto mio in a casa mia ? E tu ?Anke io para Italiano
Ni tamu sana ukijuaAnhaa basi wacha tujifunze wote
Hahhh ooh mamma mia!!!!Mama mia
English ni lugha ya kawaida sana, kuna nchi wala hawana ishu na english kabisaUngewaambia waje wajifunze english ungewapata matusi.,watz english hawaipendi sijui kwa nini
Anche io ho imparato da solo dopo aver avuto amici italianiOooh bene! Secondo me imparlo per conto mio in a casa mia ? E tu ?
Ki-Italiano ni kizuri sana, mie nilijua kiasi baada ya kuwa na marafik waitaliano.Bora nijifunze kifaransa NAKUPENDA yaani hata awilo lugambo na akina fall ipupa wakiimba napenda kuliko hata kiingereza
Me inabidi niwe na urafiki na akina fall ipupa huwenda nitakijua vzrKi-Italiano ni kizuri sana, mie nilijua kiasi baada ya kuwa na marafik waitaliano.
Bambino? Hebu nikumbushe nguruwe inaitwaje kitalianoMmmmmm h
Balotelli Del Piero TottiBounuchi totti inzaghi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]