Njoo tujifunze Kiitaliano

Njoo tujifunze Kiitaliano

Ungewaambia waje wajifunze english ungewapata matusi.,watz english hawaipendi sijui kwa nini
 
English ni lugha ya kawaida sana, kuna nchi wala hawana ishu na english kabisa
 
Bora nijifunze kifaransa NAKUPENDA yaani hata awilo lugambo na akina fall ipupa wakiimba napenda kuliko hata kiingereza
 
Ki-Italiano ni kizuri sana, mie nilijua kiasi baada ya kuwa na marafik waitaliano.
 
Back
Top Bottom