Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,612
Haha full kichapoSiku ya kufunga shule Primary enzi hizo nilikuwa nafunga na Monitor
enzi hizo ukorofi na ubabe ndio penyeweHaha full kichapo
Nilipataga shida kweeli kwa hilo jamani...Siku ya kufunga shule Primary enzi hizo nilikuwa nafunga na Monitor
Yaani usinikumbishe, halafu mie nikafika sec kibarua kikaanza upya... Nilikuwa nalia kila leo nikiwa primary!!!! Halafu yule mwalimu sitomsahau toka darasa la nne mpaka la saba ni mie tuu na adhabu ya viboko juu kisa nilichaguliwa nikalia!!!! Aki P..., Mungu anakuona ila Nshakusamehe!!!!!Niliwahi kuwa Monitor Primary, nilikuwa naonewa sana kwa wababe likifika suala la kuandika majina ya wapiga kelele
Nilikuwa nasubiri niondoke na mwalimu,najitia namsaidia vitu kumbe naogopa kupigwa.Siku ya kufunga shule Primary enzi hizo nilikuwa nafunga na Monitor
Ha ha ha ha kama nakuona vile unavyonung'unika.Yaani usinikumbishe, halafu mie nikafika sec kibarua kikaanza upya... Nilikuwa nalia kila leo nikiwa primary!!!! Halafu yule mwalimu sitomsahau toka darasa la nne mpaka la saba ni mie tuu na adhabu ya viboko juu kisa nilichaguliwa nikalia!!!! Aki P..., Mungu anakuona ila Nshakusamehe!!!!!
Hahah kumbe na wewe ulikuwa na bifu na watu...(ulikuwa monitress nini)Nilikuwa nasubiri niondoke na mwalimu,najitia namsaidia vitu kumbe naogooa kupigwa.
tena yaani kama ndio mnyonge watakudunda kweliNilipataga shida kweeli kwa hilo jamani...
Asante Mwifwa...Ha ha ha ha kama nakuona vile unavyonung'unika.
Pole sana Sakayo, yaani taabu ya kuwa Monitor haijawahi kumuacha Mtu salama.
Sitaki kukumbuka kabisa... Kulikuwa na wajamaa wakorofi mnoo!!!tena yaani kama ndio mnyonge watakudunda kweli
Sikuwahi kupata adha yoyote toka pre form one hadi form four nilikuwa nabadilishiwa wasaidizi tu. Kama walinichukia basi hawakuonyesha chuki zao.Ha ha ha ha kama nakuona vile unavyonung'unika.
Pole sana Sakayo, yaani taabu ya kuwa Monitor haijawahi kumuacha Mtu salama.