Kiufupi nilikuwa naogopwa sana Luna Siku nilitoboa taili ya gari ya displine master kidogo nilale msimbazi policePamoja mkuu vipi we hukuwa mkorofi darasani
Kweli we ulikuwa nomaaa ila saizi si umeacha au ndo umechochea utukutuKiufupi nilikuwa naogopwa sana Luna Siku nilitoboa taili ya gari ya displine master kidogo nilale msimbazi police
Nimepunguza mkuu lakini ukijaa kwenye 18 nakupasu vizuri sanaKweli we ulikuwa nomaaa ila saizi si umeacha au ndo umechochea utukutu
Sawa mkuu ila inabidi uache maana umri unakukaba kubaki na mambo ya kitotoNimepunguza mkuu lakini ukijaa kwenye 18 nakupasu vizuri sana
Kweli kabisa mkuuSawa mkuu ila inabidi uache maana umri unakukaba kubaki na mambo ya kitoto
DaaahUkikuta mtu alikuwa mkorofi sana primary ukimkuta saizi huwezi kuamini unakuta ni mtu mtulivu kabisa tena hana makuu na watu
Yaani usinikumbishe, halafu mie nikafika sec kibarua kikaanza upya... Nilikuwa nalia kila leo nikiwa primary!!!! Halafu yule mwalimu sitomsahau toka darasa la nne mpaka la saba ni mie tuu na adhabu ya viboko juu kisa nilichaguliwa nikalia!!!! Aki P..., Mungu anakuona ila Nshakusamehe!!!!!
Niliwahi kuwa Monitor Primary, nilikuwa naonewa sana kwa wababe likifika suala la kuandika majina ya wapiga kelele
Asante mwaya..Pole sana.
cha kutosha yaaniHaha full kichapo
Ahsante Mkuu BAKPole sana Mkuu.
Pamoja mkuuKweli kabisa mkuu
Duuuh pole sana mkuu mi sijawahi kupigwa maana ndo tulikuwa watemi wa shuleDaaah
Walinipiga mnooo....
Ulikuwaga monistressNilipataga shida kweeli kwa hilo jamani...
Asante mwaya..
Kapemba kisomba hilo ni jina la kike?[emoji15]Aisee kuna kiranja nilikuwa cmpend kapemba kisomba, ulikuwa mnoko sana sikulaumu uenda Ulikuwa utoto ila kama bado unaendelea na tabia yako na kusih uache ndoa itakushinda mama
Ni kweli kabisa tatizo MAKUzi ndio yanayo wasumbua.Ukikuta mtu alikuwa mkorofi sana primary ukimkuta saizi huwezi kuamini unakuta ni mtu mtulivu kabisa tena hana makuu na watu