Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Duuuh kweli kila jambo na wakati wakeMimi monitor alikuwaga ni mshkaji wangu sana, na mimi ndio niliempa promo mpaka akawa monitor ilikuwa hivi kwenye uchaguzi mimi ndio nilimsupport kwa kuongea na mademu wa darassa letu kusudi wamchague jamaa na mademu enzi hizo walikuwa wananielewa hatar.
Hivyo jamaa hajawahi niandika jina na akiniandika basi hayapeleki kwa mwalimu. Over
Sawa mkuu ila wengine ni tabia za familia tu ukorofi wanaendeleza mapaka mtaaniNi kweli kabisa tatizo MAKUzi ndio yanayo wasumbua.
Sawa ni kweli kabisa mkuu.Sawa mkuu ila wengine ni tabia za familia tu ukorofi wanaendeleza mapaka mtaani
Pamoja mkuuSawa ni kweli kabisa mkuu.
Ikawaje?
You are correct 99%Bila shaka wewe ni dizain ya wale wanafunzi wasafii, wanajibu kila swali, walimu wote mnajuana, wanoko wanoko kila muda wanaenda staff!
Heri yakoooo mwaya!!!! Walikuwa watoto wakorofi yaani wasumbufu jioni ikifika wakati wa kuagana napata viboko daaah..Duuuh pole sana mkuu mi sijawahi kupigwa maana ndo tulikuwa watemi wa shule
Ndio mkuuUlikuwaga monistress
Anha sawa mkuu.Ndio mkuu
YaaniNachukia sana watu wa hivi wanaowanea wenzao bila ya kuwepo sababu zozote zile.
Yaani
Niliichukia shule lakinii haikusaidia, nilivyokua na akili mbovu nikamwandikia mwalimu mkuu barua ya kukataa umonitress na sababu ya wale wavulana, wakachapwa sasa zile hasira wakarudisha kwangu jioni yake weeee!!!!!, usiombe
Ni changamoto kwa kweli!!!! Ila na shukuru Mungu kwa yote!Mwalimu alitakiwa afuatilie kuhakikisha hawakuonei. Walimu wengine hovyo kabisa!