Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Duuuh kweli kila jambo na wakati wakeMimi monitor alikuwaga ni mshkaji wangu sana, na mimi ndio niliempa promo mpaka akawa monitor ilikuwa hivi kwenye uchaguzi mimi ndio nilimsupport kwa kuongea na mademu wa darassa letu kusudi wamchague jamaa na mademu enzi hizo walikuwa wananielewa hatar.
Hivyo jamaa hajawahi niandika jina na akiniandika basi hayapeleki kwa mwalimu. Over