Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

[/QUOTE]Hii habari ya ikifika usiku ndio unajua kazi imeanza imenikumbusha mbali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asee hili jukwaa sikuwahi kutia neno ila kwakua nimekutana namada hii naomba nitie neno kidogo

mm nimtu ambae kwanza nilikua siamini kabisa ushirikina ama kuwepo kwa uchawi ila nilikuja kuamini kutokana na mfululizo wamatukio mengi sana niliowahi kukumbana nayo nikianza kuyajumlisha yautotoni sana toka nipo chekechea mpaka ukubwani

ila ntashare hii ya ukubwani maana ndio iliokua inanisisimua zaidi japokua mpaka sasa baadhi yamuda hua mauza uza yake yananitokea ila naona sasa kawaida tu ijapokua sio kawaida (stori ndefu kiasi ila nitaifupisha msiichoke)

UCHAWI KWAUPANDE WANGU UPO.

Ilikua kama miaka ya 2010s Hv mkoani dar nlikua namaskani yangu hv sehemu moja mkoani pale nakumbuka kuna siku alipita msichana jina ntalihifadhi alikua na dada ake aliomtambulisha kwetu hivi namimi nlikua na swahina wang tukawafata wale mabinti

mm nikakaa kwamdogo mtu na kwabahati mdogo mtu akatokea kunipenda sana sana sanaaa kiasi kwamba akawa ananilazimisha kwenda kwao sijui ilikua nakwamia wapi sikuwahi kukubali

yule binti alinipenda sana sana sana ila kunasiku tuko maeneo chochoroni mschana akanambia kwajinsi anavyonipenda kama itatokea nimemuacha ataniroga

kweli wakati niponae kunasiku naelekea nyumbani nilihisi kunakitu nyuma kina nifuata ila sikugeuka kukitazama na moja kwamoja nilimuhisi yule mwanamke ila nilipo karibia nyumban nikageuka ila sikumuona ila nilihisi kajificha sehemu wakati mimi nageuka nyuma

haikupita mda sana yule mschana tuka achana ikapita miaka mingi tukawa hatuna stori nawala kuonana haikua sana nakumbuka kwawakati ule nilikutana nae mara mbili ama tatu tu

Nafupisha Yule msichana kunasiku nililala nikamuona yeye nayule dada ake namtu niliemuhisi atakua mama ake wamekuja nlipokua nalala saa nane za usiku walikuja kichawi wakanilisha kitu(kuna siku nilikua sehemu ambayo mtu hawez kutuona ila akanambia mama ake kapita na kaniona sikushangaa sana ila nilishangaa kiasi)


Baada yapale kulishwa kitu niliumwa sana kwausiku ule maana kweli nilihisi kitu nakimeza nakilikua kinaniuma pia wakati wanakuja kunilisha usiku nilikua nawaona (yaani Mungu alinipa uwezo wakuwaona toka wanatoka mbali mpaka kufika nilipo ila nlikua sina uwezo wakuwafanya kitu mpaka walipo nilisha kitu)

Baada yakulishwa kitu nakupata maumivu mpaka kesho yake kwamarayakwanza nikaenda kwa mganga asubuhi yake nanilipata tiba tatizo likaondoka ila likawa linarudi rudi kidogo kitu kile nlichomezeshwa maana kilikua kinanitembea tumboni(pia nlipolishwa kile kitu nilipoteza uwezo wakusimamisha nguvu za kiume kwamda ila zimerejea[emoji3][emoji16][emoji5][emoji4])


Ikapita kama mwaka ama miaka miwili ikawa nime amua kuhama kwetu kuanza kukaa binafsi sasa kuna siku naingia nyumba nlipokua nakaa baada yakuamua kuhama kwetu yule mwanamke sku hio naingia ndani mlango mkubwa wanyumba nlipo panga kwanje nikamuona kaka ila sikuelewa kafikaje skumuuliza kitu nikaingia ndani

baada ya sku ile akawa ananijia usingizini nikawa napenzika nae ndani ya usingizi ila chaajabu ikawa nikiamka yule mdada yupo na amenikumbatia kwel kwel hali yakunikimbatia inatokea kama dakika tatu halafu anasepa yule binti(tukio hili lilinitokea zaidi yamara tatu ama nne mfululizo)

Nikarejelea kwayule mzee wangu akanambia mwanamke yule pengine sio mtu ila sikujali sana nlilojali asinijie tena kunisumbua ili niishi kwa amani

kna siku nikawa nimekaa nikamuwaza yule mwanadada akapita tu ghafla nikaonana nae na nilikua sijui anakaa wapi maana tulishapotezana miaka mingi kiasi nikamwambia kama nna shida nae

Kweli tukabadilishana namba yasimu tukaonana nikamuelezea matatizo nnayokumbana nayo akanambia yakwamba yeye kama akitokea kumpenda Mwanaume kama alivyonipenda mimi halafu mwanaume akaenda kinyume nae ama akamfanzia kama nlivyomfanzia mimi basi lazma atapata tabu kama nlokua naipata mie ila akanihakikishia kama ntakua poa (kuna siku alinifata usiku nakunipiga mpaka nikawa naviashiria vyamtu anaetaka kupata stroke akanambia nahili tatizo pia lita ondoka) nikweli tatizo liliondoka

Ila bado hua ananijia baadhi ya mda usiku namuona tu kikawaida ila hatufanyi kitu mwisho juzi nilionana nae ila usiku(sikuwa usingizini alinitokea tu mara moja)


Mwisho:-Katika kufanya uchunguzi kwayule msichana kwa alipo nambia anakaa awali nimefanya kila jambo lakujitosheleza nimfahamu nimjue alikua anakaa wapi kwakila nnaeuliza maeneo yale alipokua anakaa yule mwanamke msichana wanasema hawamjui nahakuwahi kukaa ama kuishi mwanamke wakariba yake maeneo yale



UCHAWI AMA MAUZA UZA YAPO ILA UKITAKA UYAAAMINI MPAKA YAKUKUMBE AMA UKIMBANE NAYO KWAUPANDE WANGU YAPO KWA 100%

Sent using My COVID-19
 
Sasa mbna hujamalizia alikufaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu ukumbane na haya hujawahi kuwa na mwanamke mwingine?
 
Tangu ukumbane na haya hujawahi kuwa na mwanamke mwingine?
nimewahi ila nakumbana nachangamoto moja tukatika mahusiano yangu eidha hua sikai sana namwanamke ama kama nitajaribu nanikafanikiwa kusex nae basi ndio maisha yetu yamahusiano hua yanaasilimia kubwa sana yakufikia ukingoni

Nb:-katika mahusiano yangu yote nilio wahi kukaa nayo huyo msichana tajwa hapo juu ndie alikua msichana niliekaa nae sana katika mahusiano na haukufika ama kuzidi mwaka mmoja wanyuma nilikaa nao kiasi ila sikudumu nao

Ila baada ya yeye hakuna mwanamke ama msichana nlietimiza nae miezi walau mitatu kama ikibidi sana mmoja ama mmoja nanusu mpaka miwili.....

Sent using My COVID-19
 
Hawa viumbe ili uachane nao unahitaji kuwa na imani/nguvu kubwa kiasi ya kiroho. Nakumbuka nikiwa shule o-level miaka ya katikati mwa 2000, niliwahi kutokewa na kulala mara mbili na hao viumbe. Ila ile hali sikuipenda, nilisali sana na kwa kuwa nilikuwa shule za dini hizi/za kanisa zilinisaidia sana kukuza nguvu zangu za ndani.

Baadaye nilikuwa nagombana naye, tunakinzana kwa nguvu za ndani na anashindwa anaondoka. Anarudi tunapambana hivyo hivyo...matokeo hyo hali ikaisha kabisa. Ila inachosha sana, unaishiwa nguvu sana na maumivu ya kichwa ila utaibuka mshindi.

Ilinitokea tena mwaka 2017 lakini huyu nahisi alikuwa mwengine, na baada ya kumkataa alikasirika, akatoa mimeno akabadilika kama mamba lakini hakuweza, nilimshinda pia. Hiyo hali sijaiona tena.

Hivyo ndungu yangu Bwana Utamu, aidha sali sana, au tumia njia uliyotumia(mizizi) ili kujikomboa kifungoni. Fanya unachoamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
D
Duuu ilikuwaje hebu fafanu kidogo
 
Dah pole sana MKUU ila ahsantepia kwaushauri ntalifanzia kazi.....

Sent using My COVID-19
 
Usikute basi yeye ni matokeo ya wewe kutokaa na wanawake.. amekuja kukunyoosha!!
Vitu kwenye maisha haviwi coincidence tu
kuna mmoja wapo alikuelewaga ukamzingua akaona akushugulikie , au ni Retribution tu ya matendo yako.

maana unavyozungumza huyo binti anachofanya sio uchawi ni kama Immortal vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…