Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

Kwamatendo yangu MKUU sidhanii asee kuna mada moja nili ilose pale juu ya UMUHIMU sana yule bibie kuna day moja katika zile nne alizonijilia Night alinitia stiki balaa asee

Yaani fimbo kabisa [emoji16][emoji16] nacheka kama mazuri

Ila zile stiki zilikua miongoni yasababu yakumtafuta japo nlikuja onana nae bila kutarajia

Ila pia kinachonishangaza nikwamba aliwahi nambia anakaa maeneo flan kwenda muulizia maeneo yale hawamjui kabisaa nahayo maeneo mimi najulikana kwel kwel maana kulikua na washkaji tulikua tunapiga nao soka kitambo nahicho

Pia katika wale watu wapale aliwahi nitajia jamaa mmoja ambae alidai kuwa mwanaume wake kabla yakuwa namimi ila yule jamaa ananambia hakuwahi kuwa namwanamke wanamna hio nahamna mwanamke wabamna hio kwapale

Kuna mambo yananifiirisha sana juu yayule manzi kiukweli yaani mpaka najishangaa yule mwanadada hakua mtu wasocial media yeyote ile ila alikua namuonekano wamambo hayo baada yakuachana na mimi maana katika maisha yakawaida bina adamu tunaweza tusionane ila mpaka kule kweli kwa mitandao ?! Nahuku kwamitandao pia hakuniumizi kichwa sana kama nikifika pale mitaa alowahi nambia anakaa halafu naambiwa hakuna mwanamke wanamna yake hasa wajina lake alowahi kukaa pale nlioneshwa wanawake wanamna namajina yake wapale karibu robo nawajua maana maeneo yale najulikana na napajua vyema.....


Ila immortal how hem nieke wazi hapa.....
Sent using My COVID-19
 
Alafu kumbuka kule wanakutana watu wengi wa tabia tofauti.mikoa yote tz .sometimes watu mmelala unaskia mtu anapiga kelele mamaaa nimeona wachawi walikua wanamyanyua huyu .wa jirani na alipo lala yeye
 
Kiongoz naomba uni-PM namb za uyo bintiπŸ™πŸ™
 
Huyo mwanamke si mtu..na ukiendelea kumchekea..atakufanya...m.s..nge...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijiji hicho kinaitwa MALIKA ...nilisahawahi fika huko mwaka 2005

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba location mkuu kwa babu uko
 
Jini



"Not everything is for everybody"
 
dah nlishaipoteza mda sana mzee ila kama ningelikua nayo wala nisingekufanyia khiyana kijana wangu.....

Sent using My COVID-19
Daaa nacheka kama mazuri![emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu tunajitahidi tuyakimbie haya maviumbe, wengine wanata ukaribu nao.
TANBIHI: Hawa viumbe sio wazuri, hata wakutendee wema kiasi gani, ukipishana nao watakutesa tu. Sio viumbe wa kuomba/kuhitaji kuwa nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu kumbuka kule wanakutana watu wengi wa tabia tofauti.mikoa yote tz .sometimes watu mmelala unaskia mtu anapiga kelele mamaaa nimeona wachawi walikua wanamyanyua huyu .wa jirani na alipo lala yeye
Ni kweli kabisa mkuu. Nakuelewa, kuna vitu nakumbuka najikuta nacheka kama mazuri. Ila kwa kuwa ni mapito, twashukuru tupo salama mpaka leo. Nimekupata sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumdhibiti najua ndo maana nilikuwa namhitaji kuna kitu nilitaka nijue kupitia yeye kisha namfarakanisha na Mimi na asingerudi tena!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…