OP Muungano. Nilikuja hapo 15 RSM akiwa WO2 Matanda parade com akiwa Ssgt. Kayange baadae akawa RSM.Me nilikuwa mujibu 2014 iyo
Mgambo mojaaaa oohoooAise kuna siku maafande walikuwa lindo ofisi za uku kama unaenda gendagenda (general ofice) usiku wa manane ukaanguka mfuko wa plastic afu ndani yake kuna wali wa moto kabisa kama ndo umetoka kupikwa saiv afu katikati kina buku mbili alichofanya afande moja akachomoa ile pesa akaitia mfukoni afu chakula wakazoa wakatupa porini, 835kj kuna mambo mengi sana
Mayai wa A coy[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamaa ana mashavu yulee aiseeeee...OP Muungano. Nilikuja hapo 15 RSM akiwa WO2 Matanda parade com akiwa Ssgt. Kayange baadae akawa RSM.
Nimeingia pale MTM wanalalamika sana kuingiliwa na kupigwa miti usiku na wazee[emoji23][emoji23]
Unamkumbuka mjerumani? Je Mayai?
Mr. RSM mzee wa fatiki mamaeee hatarii sanaaa...!!OP Muungano. Nilikuja hapo 15 RSM akiwa WO2 Matanda parade com akiwa Ssgt. Kayange baadae akawa RSM.
Nimeingia pale MTM wanalalamika sana kuingiliwa na kupigwa miti usiku na wazee[emoji23][emoji23]
Unamkumbuka mjerumani? Je Mayai?
Haha inategemea OP gani yeye kuwa Acoy maana huwa wanabadirishwa kutokana na nguvu kazi iliyokuwepo kipindi hiko. We uliopita pale OP gani?Mayai wa A coy[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamaa ana mashavu yulee aiseeeee...
Wale ndio wachawi na wazee wa vikosi, sasa wewe toka huko mjini nenda kajifanye unajua kubadirisha utaratibu waliojiwekea enzi na enzi. Kanole mwenyewe alikuwa anawaheshimu sana wale wazee😂😂Mr. RSM mzee wa fatiki mamaeee hatarii sanaaa...!!
Nadhani uliikuta ile stori ya Yule askari aliyekufa bwawani. Unaambiwa babaake aliakapark Iveco usawa wa michungwa kama unaelekea hospital, akashuka mpaka bwawani na kujitumbukiza mwenyewe majini yaani ni kama alikuwa anaitwa vile.OP Muungano. Nilikuja hapo 15 RSM akiwa WO2 Matanda parade com akiwa Ssgt. Kayange baadae akawa RSM.
Nimeingia pale MTM wanalalamika sana kuingiliwa na kupigwa miti usiku na wazee😂😂
Unamkumbuka mjerumani? Je Mayai?
Nishaujua ni ule mdogo tuKushoto kama unaenda main gate
Nadhani uliikuta ile stori ya Yule askari aliyekufa bwawani. Unaambiwa babaake aliakapark Iveco usawa wa michungwa kama unaelekea hospital, akashuka mpaka bwawani na kujitumbukiza mwenyewe majini yaani ni kama alikuwa anaitwa vile. Watu kuja kushtuka Iveco imepark barabarani na wakiangalia ile barabara ya kutokea kikosini kuelekea Kabuku ilivyonyembamba dereva hawamuoni[emoji26] Ikabidi aitwe dereva mwingine alitoe pale kulipereka GO gereji. Baada ya siku Tatu ndio mwili unaonekana bwawani ukiwa hauna jeraha lolote.
Basi ishu ikaishia hapo kila askari akiongea lake..
Kanole alikuwa hasemi kitu aiseee... Kuna yule mweusi mrefu hiviii alikuwa anapenda kusema Ngurutuu mnaharisha sababu mnakulaaa maviiiii....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wale ndio wachawi na wazee wa vikosi, sasa wewe toka huko mjini nenda kajifanye unajua kubadirisha utaratibu waliojiwekea enzi na enzi. Kanole mwenyewe alikuwa anawaheshimu sana wale wazee[emoji23][emoji23]
Mmmh wee hivi hii ni story au kweli???? Na ile story ya chatu yaniii naona fix kabisa bhasi kutisha ngurutu wasiende bwawani kuna kipindi maji yalikuwa shida ikabdi tupelekwe bwawani chini ya uangalizi wa Maafande tukafua na kuogaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nadhani uliikuta ile stori ya Yule askari aliyekufa bwawani. Unaambiwa babaake aliakapark Iveco usawa wa michungwa kama unaelekea hospital, akashuka mpaka bwawani na kujitumbukiza mwenyewe majini yaani ni kama alikuwa anaitwa vile. Watu kuja kushtuka Iveco imepark barabarani na wakiangalia ile barabara ya kutokea kikosini kuelekea Kabuku ilivyonyembamba dereva hawamuoni[emoji26] Ikabidi aitwe dereva mwingine alitoe pale kulipereka GO gereji. Baada ya siku Tatu ndio mwili unaonekana bwawani ukiwa hauna jeraha lolote.
Basi ishu ikaishia hapo kila askari akiongea lake..
Kwa msange kulee tumelima sana migombaa...Hii habari niliipata, Maafande wakawa wanawapa onyo kuruta bwawa linaua lile usiogelee chota maji uoge kando. Alitusimulia siku moja tukiwa kule gendagenda kabla ya kutupa ruhusa ya kaendaekuoga, walimkuta mwenzao anaelea juu baada ya siku tatu.
Mi mwenyewe nimeuwa chatu mkubwa wa futi 14 nyuma ya jiko la mzabuni kwenye michungwa baada ya kumeza nyani mkubwa. Wazabuni ndio walimuona asubuhi wakati sisi tupo master parade. Tulipotoka uwanja wawa damu wakatusimulia na kuruti wakakatazwa wasiende kule alafu mimi niko zulu kituo cha bwaloni..Mmmh wee hivi hii ni story au kweli???? Na ile story ya chatu yaniii naona fix kabisa bhasi kutisha ngurutu wasiende bwawani kuna kipindi maji yalikuwa shida ikabdi tupelekwe bwawani chini ya uangalizi wa Maafande tukafua na kuogaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kayange ana pengo😂😂😂Kanole alikuwa hasemi kitu aiseee... Kuna yule mweusi mrefu hiviii alikuwa anapenda kusema Ngurutuu mnaharisha sababu mnakulaaa maviiiii....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeah ndicho nilichosimulia huko juu. Uchawi ulitumika, Jueni upo mpaka huko..Hii habari niliipata, Maafande wakawa wanawapa onyo kuruta bwawa linaua lile usiogelee chota maji uoge kando. Alitusimulia siku moja tukiwa kule gendagenda kabla ya kutupa ruhusa ya kaendaekuoga, walimkuta mwenzao anaelea juu baada ya siku tatu.
Haha umenikumbusha Msange Jkt kwenye zile 6 weeks mimi na jamaa yangu tulikua madodger mno hasa tukishamaliza kula msosi wa usiku tunaangushia wakati wa kupiga chenja na usiku tukiamka kukimbia si tunaenda kumalizia usingizi shambani kwenye alizeti.Mi mwenyewe nimeuwa chatu mkubwa wa futi 14 nyuma ya jiko la mzabuni kwenye michungwa baada ya kumeza nyani mkubwa. Wazabuni ndio walimuona asubuhi wakati sisi tupo master parade. Tulipotoka uwanja wawa damu wakatusimulia na kuruti wakakatazwa wasiende kule alafu mimi niko zulu kituo cha bwaloni..
Binafsi hizo stories zina ukweli, ila kuruti huwa amuamini mpaka mshuhudie. Kuruti ni mdudu, hatari uchawi wala habari yeye porini ndipo hulala kipindi cha six weeks[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] wachawi hawafai kabisaMimi kuna kisa kilinitokea nilikua kama darasa la 5. Wazee wameenda kulala na mimi nilikua na chumba changu tofauti na madogo zangu nikaenda zangu kulala,nakumbuka mlango nilifunga vizur kabisa dogo nikajipigia zangu mbonji usingizi mwororo! Asubuh kuamka LAHULA LAKWATA pembeni ya kitanda kwa chini kuna kimba moja la kinyesi,kuangalia mlango umefungwa vilevile,na udogo wangu nikaanza kutetemeka nikaenda kuwaamsha wazee,mshua kuja pale akacheka akasema hamna lolote huyu kashindwa akayamwagia majivu picha likaisha hivyo.
lakin ile nyumba ikifika mida ya saa mbili usiku kuna vitu vinatembea juu ya bati afu kama vinateleza af unasikia kishindo kama vimedondoka mkienda mliposikia kishindo hamna kitu.
Nakumbuka nilishawah kumwamsha dogo saa 9 usiku nikidhan kumepambazuka twende shule tukawah namba,fresh tumejiandaa tukaenda kuwaaga wazee tukaanza safari,hapa ndo hua naamin mungu yupo maana baada ya kufika mtaani maana inabdi tukatze mtaani afu tuvuke eneo la makaburi ndo tufike shule,ila ule utulivu wa mtaani nikamwambia dogo turudi home hii sio kawaida kama tukichelewa leo namba basi,tukarudi zetu home na kuingia vyumbani kwetu bila kuwataarifu wazee,kumbe huku room kwa wazee bi mkubwa akashtuka akasema hawa wametuaga wanaenda shule kwan saa ngapi?kuangalia muda ni saa 9 na dakika kadhaa ebana ee dingi alikurupuka na pensi flan ya kulalia kifua wazi akaelekea shule kutufata,kufika pale anaita mlinzi haonekani ikabdi arudi huku anasema kesho nasafiri naenda nyumbani naona watu hatuheshimiani,bi mkubwa akasema hebu tuwaangalie vyumbani mwao,kuja kuangalia bi mkubwa akasema SI HAWA HAPA!!
Wale mabibi jirani ***** zao lakin walikuja kuuelewa mziki
[emoji3][emoji3] lilikua Jeusi hivi mkuu, kurya...Nalkumbuka vzuri kila Jumatatu uwanja wa Damu.Kanole alikuwa hasemi kitu aiseee... Kuna yule mweusi mrefu hiviii alikuwa anapenda kusema Ngurutuu mnaharisha sababu mnakulaaa maviiiii....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii stori kuruti, tulipewa na Afande wame...Bcoy 2015 Mujbu wa sheria.Mi mwenyewe nimeuwa chatu mkubwa wa futi 14 nyuma ya jiko la mzabuni kwenye michungwa baada ya kumeza nyani mkubwa. Wazabuni ndio walimuona asubuhi wakati sisi tupo master parade. Tulipotoka uwanja wawa damu wakatusimulia na kuruti wakakatazwa wasiende kule alafu mimi niko zulu kituo cha bwaloni..
Binafsi hizo stories zina ukweli, ila kuruti huwa amuamini mpaka mshuhudie. Kuruti ni mdudu, hatari uchawi wala habari yeye porini ndipo hulala kipindi cha six weeks[emoji23][emoji23][emoji23]