Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

Aise kuna siku maafande walikuwa lindo ofisi za uku kama unaenda gendagenda (general ofice) usiku wa manane ukaanguka mfuko wa plastic afu ndani yake kuna wali wa moto kabisa kama ndo umetoka kupikwa saiv afu katikati kina buku mbili alichofanya afande moja akachomoa ile pesa akaitia mfukoni afu chakula wakazoa wakatupa porini, 835kj kuna mambo mengi sana
Mgambo mojaaaa oohooo
 
OP Muungano. Nilikuja hapo 15 RSM akiwa WO2 Matanda parade com akiwa Ssgt. Kayange baadae akawa RSM.
Nimeingia pale MTM wanalalamika sana kuingiliwa na kupigwa miti usiku na wazee[emoji23][emoji23]
Unamkumbuka mjerumani? Je Mayai?
Mayai wa A coy[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamaa ana mashavu yulee aiseeeee...
 
Mayai wa A coy[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamaa ana mashavu yulee aiseeeee...
Haha inategemea OP gani yeye kuwa Acoy maana huwa wanabadirishwa kutokana na nguvu kazi iliyokuwepo kipindi hiko. We uliopita pale OP gani?
 
OP Muungano. Nilikuja hapo 15 RSM akiwa WO2 Matanda parade com akiwa Ssgt. Kayange baadae akawa RSM.
Nimeingia pale MTM wanalalamika sana kuingiliwa na kupigwa miti usiku na wazee😂😂
Unamkumbuka mjerumani? Je Mayai?
Nadhani uliikuta ile stori ya Yule askari aliyekufa bwawani. Unaambiwa babaake aliakapark Iveco usawa wa michungwa kama unaelekea hospital, akashuka mpaka bwawani na kujitumbukiza mwenyewe majini yaani ni kama alikuwa anaitwa vile.

Watu kuja kushtuka Iveco imepark barabarani na wakiangalia ile barabara ya kutokea kikosini kuelekea Kabuku ilivyonyembamba dereva hawamuoni😥 Ikabidi aitwe dereva mwingine alitoe pale kulipereka GO gereji. Baada ya siku Tatu ndio mwili unaonekana bwawani ukiwa hauna jeraha lolote.

Basi ishu ikaishia hapo kila askari akiongea lake..
 
Nadhani uliikuta ile stori ya Yule askari aliyekufa bwawani. Unaambiwa babaake aliakapark Iveco usawa wa michungwa kama unaelekea hospital, akashuka mpaka bwawani na kujitumbukiza mwenyewe majini yaani ni kama alikuwa anaitwa vile. Watu kuja kushtuka Iveco imepark barabarani na wakiangalia ile barabara ya kutokea kikosini kuelekea Kabuku ilivyonyembamba dereva hawamuoni[emoji26] Ikabidi aitwe dereva mwingine alitoe pale kulipereka GO gereji. Baada ya siku Tatu ndio mwili unaonekana bwawani ukiwa hauna jeraha lolote.
Basi ishu ikaishia hapo kila askari akiongea lake..

Hii habari niliipata, Maafande wakawa wanawapa onyo kuruta bwawa linaua lile usiogelee chota maji uoge kando. Alitusimulia siku moja tukiwa kule gendagenda kabla ya kutupa ruhusa ya kaendaekuoga, walimkuta mwenzao anaelea juu baada ya siku tatu.
 
Wale ndio wachawi na wazee wa vikosi, sasa wewe toka huko mjini nenda kajifanye unajua kubadirisha utaratibu waliojiwekea enzi na enzi. Kanole mwenyewe alikuwa anawaheshimu sana wale wazee[emoji23][emoji23]
Kanole alikuwa hasemi kitu aiseee... Kuna yule mweusi mrefu hiviii alikuwa anapenda kusema Ngurutuu mnaharisha sababu mnakulaaa maviiiii....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nadhani uliikuta ile stori ya Yule askari aliyekufa bwawani. Unaambiwa babaake aliakapark Iveco usawa wa michungwa kama unaelekea hospital, akashuka mpaka bwawani na kujitumbukiza mwenyewe majini yaani ni kama alikuwa anaitwa vile. Watu kuja kushtuka Iveco imepark barabarani na wakiangalia ile barabara ya kutokea kikosini kuelekea Kabuku ilivyonyembamba dereva hawamuoni[emoji26] Ikabidi aitwe dereva mwingine alitoe pale kulipereka GO gereji. Baada ya siku Tatu ndio mwili unaonekana bwawani ukiwa hauna jeraha lolote.
Basi ishu ikaishia hapo kila askari akiongea lake..
Mmmh wee hivi hii ni story au kweli???? Na ile story ya chatu yaniii naona fix kabisa bhasi kutisha ngurutu wasiende bwawani kuna kipindi maji yalikuwa shida ikabdi tupelekwe bwawani chini ya uangalizi wa Maafande tukafua na kuogaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii habari niliipata, Maafande wakawa wanawapa onyo kuruta bwawa linaua lile usiogelee chota maji uoge kando. Alitusimulia siku moja tukiwa kule gendagenda kabla ya kutupa ruhusa ya kaendaekuoga, walimkuta mwenzao anaelea juu baada ya siku tatu.
Kwa msange kulee tumelima sana migombaa...
 
Mmmh wee hivi hii ni story au kweli???? Na ile story ya chatu yaniii naona fix kabisa bhasi kutisha ngurutu wasiende bwawani kuna kipindi maji yalikuwa shida ikabdi tupelekwe bwawani chini ya uangalizi wa Maafande tukafua na kuogaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mi mwenyewe nimeuwa chatu mkubwa wa futi 14 nyuma ya jiko la mzabuni kwenye michungwa baada ya kumeza nyani mkubwa. Wazabuni ndio walimuona asubuhi wakati sisi tupo master parade. Tulipotoka uwanja wawa damu wakatusimulia na kuruti wakakatazwa wasiende kule alafu mimi niko zulu kituo cha bwaloni..

Binafsi hizo stories zina ukweli, ila kuruti huwa amuamini mpaka mshuhudie. Kuruti ni mdudu, hatari uchawi wala habari yeye porini ndipo hulala kipindi cha six weeks😂😂😂
 
Kanole alikuwa hasemi kitu aiseee... Kuna yule mweusi mrefu hiviii alikuwa anapenda kusema Ngurutuu mnaharisha sababu mnakulaaa maviiiii....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kayange ana pengo😂😂😂
 
Hii habari niliipata, Maafande wakawa wanawapa onyo kuruta bwawa linaua lile usiogelee chota maji uoge kando. Alitusimulia siku moja tukiwa kule gendagenda kabla ya kutupa ruhusa ya kaendaekuoga, walimkuta mwenzao anaelea juu baada ya siku tatu.
Yeah ndicho nilichosimulia huko juu. Uchawi ulitumika, Jueni upo mpaka huko..
Kuna kile Kilima kama unataka kwenda rest mbele ya shule ya msingi na njia ya kwenda kota: Kilima ambacho mashine ya kuchakata kokoto imefungwa na wakoloni nadhani utakuwa ushakijua.

Kile kituo ni nyoko, usiku hakuna kulala details zote mpaka asubuhi...
 
Mi mwenyewe nimeuwa chatu mkubwa wa futi 14 nyuma ya jiko la mzabuni kwenye michungwa baada ya kumeza nyani mkubwa. Wazabuni ndio walimuona asubuhi wakati sisi tupo master parade. Tulipotoka uwanja wawa damu wakatusimulia na kuruti wakakatazwa wasiende kule alafu mimi niko zulu kituo cha bwaloni..
Binafsi hizo stories zina ukweli, ila kuruti huwa amuamini mpaka mshuhudie. Kuruti ni mdudu, hatari uchawi wala habari yeye porini ndipo hulala kipindi cha six weeks[emoji23][emoji23][emoji23]
Haha umenikumbusha Msange Jkt kwenye zile 6 weeks mimi na jamaa yangu tulikua madodger mno hasa tukishamaliza kula msosi wa usiku tunaangushia wakati wa kupiga chenja na usiku tukiamka kukimbia si tunaenda kumalizia usingizi shambani kwenye alizeti.

Sasa siku hiyo ndo tukaona sijui ndio vibwengo wanaita,vifupi vina taa nyingi.
Tukaanza kukimbia balaa,sasa mziki kila tukikimbia tunaviona mbele na njia ya kurudi kambini hatuoni.ebwana vilituchezesha hadi kunakucha saa12 asubuhi wenzetu wanarudi kutoka mbio za asubuhi!
 
Mimi kuna kisa kilinitokea nilikua kama darasa la 5. Wazee wameenda kulala na mimi nilikua na chumba changu tofauti na madogo zangu nikaenda zangu kulala,nakumbuka mlango nilifunga vizur kabisa dogo nikajipigia zangu mbonji usingizi mwororo! Asubuh kuamka LAHULA LAKWATA pembeni ya kitanda kwa chini kuna kimba moja la kinyesi,kuangalia mlango umefungwa vilevile,na udogo wangu nikaanza kutetemeka nikaenda kuwaamsha wazee,mshua kuja pale akacheka akasema hamna lolote huyu kashindwa akayamwagia majivu picha likaisha hivyo.
lakin ile nyumba ikifika mida ya saa mbili usiku kuna vitu vinatembea juu ya bati afu kama vinateleza af unasikia kishindo kama vimedondoka mkienda mliposikia kishindo hamna kitu.
Nakumbuka nilishawah kumwamsha dogo saa 9 usiku nikidhan kumepambazuka twende shule tukawah namba,fresh tumejiandaa tukaenda kuwaaga wazee tukaanza safari,hapa ndo hua naamin mungu yupo maana baada ya kufika mtaani maana inabdi tukatze mtaani afu tuvuke eneo la makaburi ndo tufike shule,ila ule utulivu wa mtaani nikamwambia dogo turudi home hii sio kawaida kama tukichelewa leo namba basi,tukarudi zetu home na kuingia vyumbani kwetu bila kuwataarifu wazee,kumbe huku room kwa wazee bi mkubwa akashtuka akasema hawa wametuaga wanaenda shule kwan saa ngapi?kuangalia muda ni saa 9 na dakika kadhaa ebana ee dingi alikurupuka na pensi flan ya kulalia kifua wazi akaelekea shule kutufata,kufika pale anaita mlinzi haonekani ikabdi arudi huku anasema kesho nasafiri naenda nyumbani naona watu hatuheshimiani,bi mkubwa akasema hebu tuwaangalie vyumbani mwao,kuja kuangalia bi mkubwa akasema SI HAWA HAPA!!
Wale mabibi jirani ***** zao lakin walikuja kuuelewa mziki
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] wachawi hawafai kabisa
 
Kanole alikuwa hasemi kitu aiseee... Kuna yule mweusi mrefu hiviii alikuwa anapenda kusema Ngurutuu mnaharisha sababu mnakulaaa maviiiii....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3] lilikua Jeusi hivi mkuu, kurya...Nalkumbuka vzuri kila Jumatatu uwanja wa Damu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi mwenyewe nimeuwa chatu mkubwa wa futi 14 nyuma ya jiko la mzabuni kwenye michungwa baada ya kumeza nyani mkubwa. Wazabuni ndio walimuona asubuhi wakati sisi tupo master parade. Tulipotoka uwanja wawa damu wakatusimulia na kuruti wakakatazwa wasiende kule alafu mimi niko zulu kituo cha bwaloni..
Binafsi hizo stories zina ukweli, ila kuruti huwa amuamini mpaka mshuhudie. Kuruti ni mdudu, hatari uchawi wala habari yeye porini ndipo hulala kipindi cha six weeks[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii stori kuruti, tulipewa na Afande wame...Bcoy 2015 Mujbu wa sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipata ajira na kwenda kuripoti katika mkoa X mwaka 2011. Maisha yalianza vizuri tu lakini kuanzia mwaka 2012 ndio nilianza kukumbana na mauzauza mengi tu yaliyonifanya niamini uchawi upo .Mimi binafsi nashangaa sana pale mtu anapsema eti uchawi haupo. Niliwahi kusikia kwa watu kuwa mtu anayepinga uwepo wa uchawi walisema huenda bado ni tegemezi, hana bahati yakuzaliwa nayo ndio maana wachawi hawana muda nae au akapinga ili kuzua mijadala na shuhuda mbalimbali za watu makusudi tu lakini binafsi anaamini.

Ofidini kulikuwa na mfanyakazi mwenzangu ambaye tulisoma chuo kimoja.Siku moja huyu rafiki yangu aliniita sehemu akataka aniambie vitu Fulani hivi vinavyoendelea ofisini .Alinitahadharisha uwepo wa uchawi ofisini bila kunitajia nani ni MTU mbaya.Alichonishauri ni kuwa makini sana. Nilipombana akafunguka kuwa Mr X wanatoka kijiji kimoja na kwao no wachawi sana .

Nikaanza kuunganisha matukio yafuatayo . Moja ,Mr x alikuwa na tabia ya kuwahi ofisini na mkija mnamkuta mlangoni na alikuwa analazimisha salamu za kukushika mkono.Hapa jamaa alisema akikusalimia anakuwa na mawili..kuchukua bahati yako au kukuchafua kazi zako zisiende vizuri. Mbili, alikuwa na tabia unaponyanyuka kwenye kiti chako lazima aje akae na kuzuga anaongea na jirani yako.

Tabia hii ilikuwa Mara nyingi sana.Tatu, huyu Mr x alikuwa na tabia ya kuomba sana change. Mwaka 2014 kuna bosi alikuwa anastaafu. Kuna Dada mmoja alikuwa anapewa chapuo la kukaimu bahati mbaya alipata ajali ya kuteleza kwenye ngazi akiwa nyumbani na kuvunyika mguu. Kuna kipindi ilikuwa kila ikifika mwisho Wa mwezi wafanyakazi wengi ofisini lazima tuumwe. Kuna kipindi Mimi binafsi hali ilikuwa mbaya sana homa Kali na nikienda hospitali nachukua vipimo zaidi ya viwili lakini hakuna ugonjwa wowote.

Imani ilishuka ilibidi nimtafute mganga Wa kienyeji kwani kuna kipindi ilikuwa ukiwa nyumbani hali poa lakini ukienda ofisini hali inakuwa mbaya miguu inauma, macho kama yanamatongotongo. Baada ya kumpata mganga akafanya yake , kesho take nilipoenda ofisini Mr x alikuwa ananiogopa sana nakumbuka hakuingia ofisini. Siku moja niliota ndoto tumemkamata mtu tumemzunguka na kuanza kumhoji ametumwa na nani na kuja kufanya nini.

Yule MTU alitujibu ametumwa na mjomba wangu(hapa sitamtaja jina) anipeleke akanitoe kafara .Baadaye eti tukamsamehe na huyo MTU kwa kuwa anatoka sehemu moja na Mimi akaniomba nauli nikampa na hapo hapo nikashtuka ndotoni nikiwa nahema sana na jasho jingi tu.Siku moja natoka kwangu naenda kazini nilikoswa koswa kugongwa na pikipiki njia panda katika mazingira ambayo mpaka Leo sijapata jibu na asubuhi hiyo hiyo nilimkuta Mr x nje ya ofisi na akiniangalia miguuni kwa hasira na hapo nilihisi kitu kwani hats ile pikipiki ilikuwa inigonge miguu.

Alianza kunichukia sana.Baadae mrx alikuja kukaimu uongozi hapo sasa ndio vitailikuwa Kali. Tetesi zilivuma ofisini kwamba mrx alihusika kimazingara na ajali ya yule Dada ambaye kulikuwa na fununu angekaimu uongozi ofisini. Kuna mpenzi wangu mmoja alinishauri nikiwa navaa chupi nageuza nje ndani.

Pia mfanyakazi mwenzangu aliniambia niwe nakojolea mikono na miguu kila nitokapo ofisini ili nijilinde .Mr x baada ya kukaimishwa alianza kufanya mambo mengi sana ya kichawi bila woga na alikuwa anatuchezea sana ofisni.Siku moja nilimwota mfanyakazi mwenzangu wa kike amebeba jeneza yeye na mdogo wake na akaniambia sitakuja kupata mwanamke aliyetulia na hapo nilishtuka ndotoni.

Kesho yake nilipoenda ofisini nakumbuka tulikuwa tunapiga story hivi na MTU mwingine na yeye alingilia kati na tulikwaruzana na baadae kuna mfanyakazi alisuluhisha , nilihisi kitu kutokana na ile ndoto na huyu Dada alikuwa karibu sana na Mrx kwani baada ya staff kufahamu uchafu Wa mrx wengi tulikuwa tunamkwepa na hats akikuita ofisini haukai kwenye kiti........ Kesho nitaendelea kuhusu rafiki yangu nje ya ofisi ambaye mama yake alikuwa mchawi, jirani yangu mchawi na vifo vya gafla vya watoto Wa wafanyakazi wenzangu.
 
Back
Top Bottom