Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani


Kuna binadamu wamepewa uwezo wa kung'amua vitu na kuna wengine katika ulimwengu wa kiroho ni vipofu wasioona kitu chochote. Macho yao yamefungwa. Sikumbuki vizuri ila katika biblia kuna mtume mmoja walizingirwa na maadui lakini hakuonesha wasi wasi wowote. msaidizi wake akamwambia sasa tunauwawa. Yeye akajibu ondoa wasiwasi tunaulinzi yule akashangaa ulinzi u wapi.

Ndipo yule mtume akamfungua macho yule mtumishi akaona jeshi kubwa la malaika limewazunguka. Ndipo wasiwasi ukaondoka. wanaojua Biblia watasema ni nani. Nilitaka tu kukwambia haya mambo ni ktk roho. uwezi yaona mpaka uwe katika ulimwengu wa rohoni. Majini, Malaika uwezi waona kwa macho ya nyama. Kuna watu wanazaliwa wananguvu maalum za kiroho. Haya mambo yapo!
 

Big like mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nilikua nipo kwenye mood ya kumasturbate yaani nilikua natafuta uzi wa mwisho kabla sijaingia xvideos sasa nimefika hapa na xvideos siendi leteni visa niburudike.

Mwanangu stori za humu unaweza ukawa upo toi unapiga tonye mara ghafla kizungumkuti huyu hapa anatokea anakunyonya ndonga! Anakuchana kitambo anakutamani unavyokuwaga unapiga tonye toi

[emoji23][emoji13]🤣
 
Duh pole Aisee.
Bado hadi leo huwa unaona vitu vya kawaida? Tuelezee mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😲😜
Baby nawe umo..?
Ntakuja unifanyie maombi maalum ili nami nianze kuamini haya mambo!

Kuna sehemu nilikuwa nalala kwenye hicho chumba kila siku nalala vizuri tu!..
Kuna kipindi akaja anko wangu nikampisha akawa analala humo,siku ya siku naamka asubuhi jamaa sauti imemkauka kuuliza ati alikabwa usiku akaanza kufanya maombi tena kwanguvu!!,wengine walikuwa wakimsikia ili mhuni hata sikumsikia😂😂
Mi niliona kama mzinguaji tu! We mi ndo nilikuwa doni nalala kwenye hicho chumba na sikuwahi kukabwa Wala nini!!
Yeye mgeni ana siku kadhaa ati wamemdanda!😂
Dah! Wakati wengine wakisikia kitu juu ya bati ndo wanajifunika shuka zaidi,kenge Mimi ndo nilikuwa natoka nione kuna nini..?
Wakubwa walinikataza ila kenge sijawahi kuacha hiyo tabia na hata ukitoka unakuta ni linyau tu linadili na yake sometime huoni kitu!

Nyinyi hayo mauzauza huwa mnaonaje..??

Kuna mtu wangu wa karibu alishawahi sumbuliwa na hayo mambo ya kichawi sana tu! Na hivyo ndivyo tulikuwa tukiamini.. tembea sana kwa waganga lkn wapi matatizo ndo palepale! Mpaka walivyochoka wakaacha hayo maswala mbona mtu alirejea ktk hali yake ya kawaida kabisa!! Afya ikaimarika hata kuongea kukaingezeka n.k
Alipona akawa normal kabisa!

Haya mauchawi mi nahisi mtu yanaweza kumtesa mtu kisaikolojia tu akadhoofika mpk ukahisi huyu mtu anatatizo kweli!! Yapo mengi tu mtu usipochubguza lzm uamini ni uchawi n.k kumbe sometimes ni mauzauza ambayo yanaweza tengenezwa na ubongo!!
Wengi Sana wanasumbuka kisaikolojia ila hawajui...

Hayo mengine ntawaachia wahusika😜😜
Ila natamani sana kuujua ukweli kuhusu hilo li ulimwengu la kiroho na kichawi!.

NB: Leo ntakuja kukuweka mguu pande😜😉
 
siku niliyofumaniwa niliona mambo ya kutisha sana, kuna mambo ni bora kuyasikia tu lakini sio yakukute.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ahahahahhahaaaa gwariideee himaaa...
 
Ulimwengu wa pili si mzuri kaka! Anayesimulia ukiisoma unaona ni maelezo mazuri yenye kusisimua sana! Lakini ukikumbana nayo ni hatari. Binadamu tuna hofu. Ili uweze kuidhibiti hiyo hali ikiwa ulimwengu wa pili unauona inakubidi uijue nguvu yako iko wapi, na ipo barab' bara dhidi ya huo ulimwengu? Ikiwa ipo juu ya huo ulimwengu hutokua na hofu na huo ulimwengu ijapokuwa unataswira za kutisha.
 
Hiyo hali imenitokea sana, nilikua kama naweweseka usingizini lakini nilikua nashindana nazo kwa kusali then zinapotea..eee Mwenyezi Mungu asante kwa wema wako maishani
 
kumbe tabora kuna mikorosho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…