Ramea
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 2,146
- 4,084
Yes!ni Aqu........ sio mkuu?
Enzi za headmistress mmoja mfilipino, Sister Maurine Cariaga OSB.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes!ni Aqu........ sio mkuu?
nilikuwa pale 2010 -2011Yes!
Enzi za headmistress mmoja mfilipino, Sister Maurine Cariaga OSB.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kama movie huyo jamaa hata polisi hawakumtafuta[emoji22] eehAcha nami nishee story yangu japo si mzuri sana katka uandishi.
Ilikua 2010 Dar es salam enzi hizo nikiwa mwanafunzi wa chuo kimoja hapo. Ukweli sikukutana nakiumbe cha kutisha bali ni binaadam alienifanya nibaki na sintofaham na maono tofauti ktk maisha.
Sikubahatika kupata chumba ktk hostel za chuo ikanibidi nipange kitaa flan uswahilini karibu na mwenge hapo. Maisha yalikua fresh tu fadha house alikua na wake wawili na watoto kadhaa hapo kijana mkubwa wa mwenye nyumba alitokea kua mwanangu sana story za hapa na pale, jamaa alikua mstaalabu sana na anasura ya upole by that time alikua kama ana 30 yrs nakuendelea.
Tukio lilotokea lilinifanya nibaki mdomo wazi ni siku moja mida ya saa tisa kasoro huyo bro aliniamsha kwa kugonga mlango nlisita kuitika lkn mwisho nilifunua nakumkuta amemkamata kijana mmoja wa makamo. Jamaa akanambia kwamba huyu ni mwizi na huwa anaibia watu hapo mtaani. Nikamuuliza vp ushahidi unao akadai hana ila amemkuta na kisu mfukoni. Nilitaka kuacha kumpa ushirikiano ila nikaona nimsaidie huyo kijana asijedhurika kwani hakukua na ushahidi wowote. Nilimshauri jamaa kua tuamshe majirani au ndg zake jamaa akawa mbogo. Ilibidi nimfate kwanyuma akiwa amemkamata yule kijana shingoni tukielekea nyumba iliokua opposite na hii tunayokaa. Nilipata bahati ya kumuuliza jamaa akakubali ni kweli hapo aliwahi iba shati na sendoz. Nilijua itakua kesi ndogo lkn tulipofika kwa huyu jirani aligonga mlango mara mbili tatu huyo mzee akafungua na kuelezwa dhumuni la sie kuwepo hapo. Alimtazama yule kijana kwa macho ya dharau na kuulizia mimi kwani hakuwahi niona maeneo hayo ndo jamaa akanitambulisha kama mpangaji wao. Yule mzee haraka bila uoga alitupa jukumu tumuue huyo dogo then tukimaliza tumchome moto hapo hapo. Nilihisi kuogopa nikaona ni kama mzaha vile kwani tulikua wawili tunaopewa jukum hilo. Alipomaliza kufunga mlango wake mzee yule nilimwambia huyu mshkaj kwanini tusimteme tu dogo coz vitu alivyoiba nividogo sana. Msela alinifokea sana na kunipolomoshea matusi makali. Ilibidi niwe mtazamaji asikwambie mtu kifo ni kitu rahisi sana, dogo alishushiwa kipigo hevy ngumi na mateke mpaka akazimia ndipo jamaa alipoanza kutumia mawe yaliyokua pembeni . Ilifika muda dogo alipiga mayowe maskini it was too late, jamaa alihitaji kuua siku hiyo. Baada yakama dakika saba dogo alivuta nikimshuhudia alimsihi yule jamaa akimtaja kwa jina kua unaniua bure bro mimi ni mdogo wako, haikusaidia kitu dogo alipigwa taili mbili na kumwagiwa mafuta ya taa. Aliwaka mpaka mwisho. Niliogopa sana na usiku huo sikulala tena taswira ya kile kipigo ilikua ikinijia kichwani. Niliogopa sababu dogo alouwawa na huyu jamaa ni wa pale mtaani vp mimi mgeni. Nakwanini jamaa hakutaka watu waamshwe na dogo mbona hakua amemuibia huyu jamaa kitu.
Ilibidi iwe siri yangu mpaka nilpokuja kufahamishwa na majirani wengine juu ya kuokotwa mara kwa mara maiti zisizo julikana mtaani. Ilibidi nihame kimya kmya na kujiapiza kua sintokuja kupanga uswahilini tena na hawa binadam wenye sura nzuri za upole niishinao kwa tahadhari kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
poleDah imenikumbusha miaka ya 90s nikiwa Tabora wilaya moja hivi kijijini nikichukua elimu ya msingi shule yetu ilikuwa upande wa magharibi kuna makaburi halafu shule ina miti kibao ya mikaratusi,mikorosho mijohoro mizambarawe na miti fulani hivi inatoa ubani upepo ukipiga inavuma kama gari,
Dah nakumbuka hiyo siku niliamka kwenye kigheto changu pale home kama saa nane hivi mabalamwezi imekubali nje maana ilikuwa wiki ya mwalimu mmoja hivi kusimamia usafi na wechelewaji na ukichelewa unapata bakora za miguuni na lile baridi la kijijini balaa mwanaume mbalamwezi ile nikajua kumekucha nikanawa faster faster hata sikuwastua wazazi ambapo sio kawaida huwa lazima niwaamshe kwenye gheto lao mzee nikanyanyua ufagio mkononi na kidumu cha maji mbio kwenda kabla ya kufika shule kuna kipori fulani lazima ukipite ndio ufike shule mwanaume sikujari japo njiani sikuona mtu yeyote hiyo haikunistua mie nilijona mshindi leo nawahi namba shule,
aisee nimepita chini ya mikorosho na hiyo miti mingine bila kujari nahisi akili haikuwa yangu nakumbuka nafika shule nikakimbilia darasani nafika mlangoni nilichokishuhudia acha niliona moto mkubwa unawaka mule na kuna watu wamekaa kama wako kwenye kikao halafu wote wakaniangalia ila sura sikuziona hapo ndio akili ikarudi kwamba nimezingua niligeuka mbio kurudi home halafu ule upande wa makaburi nilishuhudia watu wakiwa na mguu mmoja wanaruka ruka kwa mstari mbio zangu nilikuwa nahisi kuna kitu nyuma kinanifata kugeuka nyuma niliona mtu mrefu sana kichwa hakionekani ila kavaa vazi refu linag'aa kama mbaramwezi ilivyokuwa inag'aa mwanaume niliongeza speed nilienda nikaingia na mlango mpk ndani yule jini sijui nini nilipokaribia nyumbani nilisikia msonyoo mmoja hatari sana wazazi wakaamka kufungua mlango kuja kunikuta sijitambui wakanichukua nikaenda kulala kwao asubuhi ndio kuwaelezea ni moja ya tukio ambalo huwa sipendi kabisa kulikumbuka maana baada ya hapo mpk leo kuna vitu huwa naviona ambavyo sio vya kawaida na niliwasumbua sana wazazi baada ya hapo . nimejaribu kufupisha ila kuna mambo mengi sana kwa ule usiku na miaka ile niliyashuhudia baada ya ilo tukio.
Mbona Kama Ni miaka hiyo tunafahamiana!! Njoo inbox mkuu.nilikuwa pale 2010 -2011
dah umenikumbusha sista, dah siku zinakimbia
Mimi siwezi sahau Tarehe 3 May 2020 pale mtu mkubwa kuniambia eti papai na mbuzi vina corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee umenikumbusha nilivyotrmbea kutoka Arusha Mpaka Tinde kwa mguuUna bahati ulikuwa bado mtoro huyo mrefu alokuwa anakufata nyuma huwa mshenzi sana sema haui ila huwa anasumbua balaaa. Hapendi kukimbiwa. Ukimkimbia imekula kwako, we akija jifanye humuoni ikiwezekana kaa chini ama lala chini ili apite. Ila komesha yake vua nguo zote utembee uchi ama vaa kwa mtindo huu. Anzia chupi igeuze nje ndani halafu ivae mbele nyuma fanya hivo kwa nguo zote soks na viatu kulia kushoto. Halafu tembea kawaida tu hatakiona. Ungekuwa mtu mzima ungekimbia ukastuoia akili zinarudi upo kijijiji cha 8. Ndo ungejiuliza umefikaje huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuona sehemu nyingi upo downSijawahi kumbana na visa vya kutisha-ila maisha yangu yanavyokuwa na vikwazo na mbinde kibao...naamini uchawi upo kabisa.
Ila roho inagoma kwenda kwa mganga wa ndagu-...ila nasurubika mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa Mimi ilikuwa siyo kukimbia,Mzee anasimulia Zamani za Kale, Kipindi katoka akumuoa Mama yangu alitoka Kupata Kilaji Kidogo kwenye Kasenta Ketu hako ( Mji wetu) around 1960s.
Sasa ile anarudi home, yaani Kufika Junction ambapo kupafikia Nyumbani ni Kama Mita 200, akakutana na huyo Jamaa Mrefu. Mshua alikuwa anakula Fegi, anakwambia Fegi Ikadondoka Palepale, ile Kukimbia, aisee anakuta Karibia Kunapambazuka ndiyo akili inamrejea yupo takribani 25Kms toka home. Ndiyo akaanza Kujikongoja Kureje home karibia Kumepambazuka tayari.
Mkuu hiyo ID name ina akisi mapito yakokisa chengine nakumbuka wakati nikiwa mdogo nacheza na watoto wenzangu ghafla nikamuona dada yangu mtoto wa ba mkubwa akipita maeneo ya uchochoroni nikamkimbilia kwenda kumpokea na kumhug ghafla giza nene likatanda machoni mwangu nakuja kuamshwa eti nilizimia pale uchochoroni kurudi home nikaulizia dada amekuja nikaambiwa mbona yupo chuoni kwao na huku hakuja. NIKIKUMBUKA HILI TUKIO HUWA MWILI UNASISIMKA
Hhhha hivi sio movie kwel hiyo kiongozi!😀Usiku mmoja nilikuwa nimelala ghafla nikahisi kama kuna mtu chumbani kwangu nikaamua kufungua macho na kukiona kiumbe wazungu wanaitwa black shadow amekaa kwenye stuli yangu ambayo niiacha laptop hapokipo katika shape ya mtoto wa kike huku ameshika mdoli cha kushangaza sikuweza kumove zaidi ya macho nikashangaa tunaanza ongea mental(bila kutumia midomo) nikamuuliza ww nani akawa ananiambia toka kwenye mwili wangu sio wa kwako naomba mwili wangu aisee niliogopa sana nikamwambia mbona huu ni mwili wangu akaanza kunisogelea nikafumba macho na kuanza kusoma dua ndipo nikastuka aisee sikulala usiku mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mkuu ni uhalisia mkuu yalinikutaHhhha hivi sio movie kwel hiyo kiongozi![emoji3]
Duuuuh aisee[emoji17][emoji17]Acha nami nishee story yangu japo si mzuri sana katka uandishi.
Ilikua 2010 Dar es salam enzi hizo nikiwa mwanafunzi wa chuo kimoja hapo. Ukweli sikukutana nakiumbe cha kutisha bali ni binaadam alienifanya nibaki na sintofaham na maono tofauti ktk maisha.
Sikubahatika kupata chumba ktk hostel za chuo ikanibidi nipange kitaa flan uswahilini karibu na mwenge hapo. Maisha yalikua fresh tu fadha house alikua na wake wawili na watoto kadhaa hapo kijana mkubwa wa mwenye nyumba alitokea kua mwanangu sana story za hapa na pale, jamaa alikua mstaalabu sana na anasura ya upole by that time alikua kama ana 30 yrs nakuendelea.
Tukio lilotokea lilinifanya nibaki mdomo wazi ni siku moja mida ya saa tisa kasoro huyo bro aliniamsha kwa kugonga mlango nlisita kuitika lkn mwisho nilifunua nakumkuta amemkamata kijana mmoja wa makamo. Jamaa akanambia kwamba huyu ni mwizi na huwa anaibia watu hapo mtaani. Nikamuuliza vp ushahidi unao akadai hana ila amemkuta na kisu mfukoni. Nilitaka kuacha kumpa ushirikiano ila nikaona nimsaidie huyo kijana asijedhurika kwani hakukua na ushahidi wowote. Nilimshauri jamaa kua tuamshe majirani au ndg zake jamaa akawa mbogo. Ilibidi nimfate kwanyuma akiwa amemkamata yule kijana shingoni tukielekea nyumba iliokua opposite na hii tunayokaa. Nilipata bahati ya kumuuliza jamaa akakubali ni kweli hapo aliwahi iba shati na sendoz. Nilijua itakua kesi ndogo lkn tulipofika kwa huyu jirani aligonga mlango mara mbili tatu huyo mzee akafungua na kuelezwa dhumuni la sie kuwepo hapo. Alimtazama yule kijana kwa macho ya dharau na kuulizia mimi kwani hakuwahi niona maeneo hayo ndo jamaa akanitambulisha kama mpangaji wao. Yule mzee haraka bila uoga alitupa jukumu tumuue huyo dogo then tukimaliza tumchome moto hapo hapo. Nilihisi kuogopa nikaona ni kama mzaha vile kwani tulikua wawili tunaopewa jukum hilo. Alipomaliza kufunga mlango wake mzee yule nilimwambia huyu mshkaj kwanini tusimteme tu dogo coz vitu alivyoiba nividogo sana. Msela alinifokea sana na kunipolomoshea matusi makali. Ilibidi niwe mtazamaji asikwambie mtu kifo ni kitu rahisi sana, dogo alishushiwa kipigo hevy ngumi na mateke mpaka akazimia ndipo jamaa alipoanza kutumia mawe yaliyokua pembeni . Ilifika muda dogo alipiga mayowe maskini it was too late, jamaa alihitaji kuua siku hiyo. Baada yakama dakika saba dogo alivuta nikimshuhudia alimsihi yule jamaa akimtaja kwa jina kua unaniua bure bro mimi ni mdogo wako, haikusaidia kitu dogo alipigwa taili mbili na kumwagiwa mafuta ya taa. Aliwaka mpaka mwisho. Niliogopa sana na usiku huo sikulala tena taswira ya kile kipigo ilikua ikinijia kichwani. Niliogopa sababu dogo alouwawa na huyu jamaa ni wa pale mtaani vp mimi mgeni. Nakwanini jamaa hakutaka watu waamshwe na dogo mbona hakua amemuibia huyu jamaa kitu.
Ilibidi iwe siri yangu mpaka nilpokuja kufahamishwa na majirani wengine juu ya kuokotwa mara kwa mara maiti zisizo julikana mtaani. Ilibidi nihame kimya kmya na kujiapiza kua sintokuja kupanga uswahilini tena na hawa binadam wenye sura nzuri za upole niishinao kwa tahadhari kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eliya mtishbi.Alikuwa Elisha, na msaidizi wake alikuwa ni Gehazi, ndie ambae alifunguliwa macho.
Elisha alirithi upako kutoka kwa Nabii Eliya, Eliya alipokufa, Elisha aliomba kwa Mungu apewe upako mara saba wa Eliya.
Huyo Eliya naye alikuwa ni wa moto saana Mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app