Aachane na vibabu akuje kwa mayankiShunie njoo kwangu upate vingi,
Utakuwa malkia mimi nitakuwa kingi,
Utachange umbo, sura na rangi,
Fasta tu watakufananisha na jackline mengi
Fakalava mpaka akija mjanja nishakuibababy fakalava njo uwaone hawa machizi
hivi supermarket anakulipa sh ngpAachane na vibabu akuje kwa mayanki
Halafu life zuri si mtaspendi?
Miezi tisa mingi umpige kibend
Halafu umwache njia panda ile ya stendi [emoji23][emoji23][emoji23]
fakalava sio muhuniJamani shuni
Fakalava ni mhuni
Huogopi kulazwa kwenye kitanda cha kunguni?
Mkumbatie supermaket
Jumba la kifalme utaket
Uenjoy humbeger sio supergate
Mapenzi sio pesa mapenzi ni kupendanahivi supermarket anakulipa sh ngp
Nalipwa pound naira mpaka dolahivi supermarket anakulipa sh ngp
Shemeji jiandae hapa kwangu hukulagi,Nalipwa pound naira mpaka dola
Lengo usruke sound uwe shem bora
Najua umetoka TA kwa sumalee wa hakunaga
Nafukuzia fursa uwe shem siunajua tunakulaga!
Please mrembo Shunie
Shika mhindi wa super uugugumie
Moyo wa ushairi vina. Vipo wapi vina vyako. Shunie usije [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Unamsifia mistari, ha?[emoji1] [emoji1]
Hapo amezungumza
Mwambie aturudishie hela zetu[emoji23] [emoji23]
shunie anasifiwa kwa mistari isiyohata na vina? Hapo sidhani kuna hata pesa ya kupaka ina.
Fakalava huyo mpenzi wako mwambie achague moja
1. Aturudishie hela zetu
2. Aache kuimba na kuchana
2. Ashuke stejini tutampiga chupa
Fakalava labda alikuwa anaongea bhn [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyewe naona ameikubali kinoma,
Kumbe jamaa kashika gazeti anasoma,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kinomaaa
.........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kupenda kupendwa, mnapendana sana,
Tatizo ameshindwa, kuendana na vina, Tutamwita vipi bingwa, kwa mistari ya kichina
Si bure umetendwa, shtuka mschana
Ujue sisi ndiyo shareholders lazima tupime Voko anazorushiwa mtoto [emoji1][emoji1]. ..@Supermaket shuka mistari uchukue jiko [emoji115]
Kulalamika lazima,
Kizembe zembe unamkubali
Vina vya kusema sema,
Mizani za kupiga dili
Kama vipi Mwambie achane
Vina vinne vinne, akiflow fresh mbona tutamuona mashine
Ok ok twende;
Njoo mabebey
Nikubebe
Nikupeleke club tukaruke debe
Mrembo shuni
Nikupende july mpaka juni
Nikutoe kwenye maisha duni
Nikupe gari, nyumba, kampuni
Achana na fakalava njoo mtoto mzuri,
Nikupe mali mapesa na magari,
Unukie vizuri manukato ya uturi,
Kukuhonga ghorofa mimi sioni hatari.
Achana na vilaaza
Mkumbatie super braza
Ukaribie familia kubwa
Kuna mawe tutakuhandle kibabukubwa
Ok ok mwanangu daby usijali,
Nibembelezee demu akubali,
Chochote atapata hata mali,
Nitampeleka afrika kusini na rwanda kigali,
Mauritious na senegali,
Ujerumani mpaka italy,
Akale misosi mizuri baga, biriani na wali
Shunie njoo kwangu upate vingi,
Utakuwa malkia mimi nitakuwa kingi,
Utachange umbo, sura na rangi,
Fasta tu watakufananisha na jackline mengi
Jamani shuni
Fakalava ni mhuni
Huogopi kulazwa kwenye kitanda cha kunguni?
Mkumbatie supermaket
Jumba la kifalme utaket
Uenjoy humbeger sio supergate
Aachane na vibabu akuje kwa mayanki
Halafu life zuri si mtaspendi?
Miezi tisa mingi umpige kibend
Halafu umwache njia panda ile ya stendi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mapenzi sio pesa mapenzi ni kupendana
Ukiniacha utanitesa nitaoneka sina mana
Nikupandishe kwenye chesa raha kula ujana
We ukiwa tisa mi nitakuwa sita tunagandana
Shemeji jiandae hapa kwangu hukulagi,
Natembea bega kwa bega mabebi simuachagi,
Mambo ya kuibiana ujinga stakagi,
Shemeji karibu karibu nyumbani ule mkate na siagi.
Love U Sweetheart.baby najihisi kunenepa sio kwa mistari hii [emoji8][emoji8] love you too hun.
[emoji28][emoji28][emoji28]mwehu wwAachane na vibabu akuje kwa mayanki
Halafu life zuri si mtaspendi?
Miezi tisa mingi umpige kibend
Halafu umwache njia panda ile ya stendi [emoji23][emoji23][emoji23]
Shunie mwenyewe mbayaa wala hatumtaki[emoji12]Ha ha haaaa yaani page 3 zote bado mmechemka mrembo shunie kawawekea ngumu.
Shahiri langu ni la digital naona mmezoea ya analojia.
nan arudishe hela [emoji30]
hashuki mtu
niacheni na baby wangu mwenyewe nimeipenda
mwenye mistari nilietungiwa nimeipenda kwa nn mlalamike
sitaki voko zenu za fakalava zimenitosha
sitaki voko zenu
mm sitaki nampenda fakalava wangu
sitakiiiiiiiii
baby fakalava njo uwaone hawa machizi
hivi supermarket anakulipa sh ngp
Nimeshakuja bebi, hachana na hawa wahuni (panya road).fakalava sio muhuni
Baada ya mission yako kushindwa?Shunie mwenyewe mbayaa wala hatumtaki[emoji12]
Vina vipo wapi...Candyscorpion
"Candy u go look good if you no go mind, I be like to sample you"
Utunzi wa kisasa huo mkuu sio mpaka vinaVina vipo wapi...